No proof but you are wrong...Habari zenu wandugu.
Kama unafuatilia siasa za kimataifa nadhani hukipitwa na kauli ya Rais wa Ufaransa ya kuwakejeli waafrika.Waafrika kuwa tunazaana hovyo na hatuna ustaarabu.Pia hata Donald Trump naye alifanya vitendo vya dharau kwa waafrika kwa kitendo cha kutoka nje ya mkutano na kiti chake kukaliwa na mwanawe.Vitendo hivyo si katika ustaraabu.
KUMBE USTARAABU SI ASILI YAO.
Kwa sisi waafrika tunaona kuwa wazungu ni wastaarabu lakini ustaarabu haukuanzia kwao.Jamii zilizostarabika hazikuanza ulaya wala amerika bali zilianzia middle east.Kipindi cha utawala Makedonia ndicho kipindi ambacho ustaarabu ulinza.Ustaarabu wa kiyunani ulianza kipindi cha 338k.Kipindi cha fikra na ustaarabu wa kiyunani uliitwa"HELLENIC".
Naomba kuwasilisha kwa majadiliano zaidi.
Post sent using JamiiForums mobile app
Kwa hili nakataa kwa nguvu zote ustaarabu ulianza mashariki ya kati kama unakumbuka dola zote na mamlaka ya dunia kiutawala yalikuwa mashariki ya kati ila waafrika nasisi tulikuwa na jamii zetu kule mfano Mafaraoustaarabu ulianzia africa
Yalikuwepo ijapokuwa historia zake zinafichwaKipindi hicho unacho kisema, hayo mataifa ya Ulaya na America yalikuwepo?
Katika historia ya maisha ya binadamu kuna kipindi kinaitwa kipindi ustaarabu.Kipindi hiki binasamu alianza kuwa wastaarabuI prove u wrong: ustaarabu kwa kiingereza huitwa civilization, ukisoma historia mbali mbali utakuta kila taifa au bala lina ustaarabu wake.
Bila shaka wewe pia ni mzungu mweusi ndio maana ukawaza hilo.
nafikiri unahitaji kwanza kubadili mtazamo wako juu ya mambo hayo utaelewa hili. empty your box watu wafill hyo box usilete ubish wa kitoto.Katika historia ya maisha ya binadamu kuna kipindi kinaitwa kipindi ustaarabu.Kipindi hiki binasamu alianza kuwa wastaarabu
Post sent using JamiiForums mobile app
Uchaa upuuzi wako wewe kila mada unaingiza udini,hizo chuki zako za kijinga sana sana zitakuletea vidonda vya tumbo tu,huna cha kuchangia piga kimya ili kuficha ujinga wako.Ustaarabu upi? Wa kueneza dini kwa upanga? Kila watu walikuwa na ustaarabu wao, ustaarabu wetu waAfrika ulianzia hapa hapa Afrika
Kwahiyo kuua Albino kwa kuwakata viungo huoni? Kucharanga mapanga wazee kwa imani za kishirikina hilo hulioni? Kuchoma vibaka moto mitaani hili hulioni?Ustaarabu upi? Wa kueneza dini kwa upanga? Kila watu walikuwa na ustaarabu wao, ustaarabu wetu waAfrika ulianzia hapa hapa Afrika
Huwezi kuandika simple.Kama una narrow minded huwezi kuelewaNo proof but you are wrong...
Sony Z3