Jackbauer JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 6,067 Reaction score 2,229 Jan 12, 2011 #1 Haya nimeyasikia kwenye sherehe za mapinduzi; Mh.rais wa serikali ya mapinduzi zanzibar. Mh rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania... Hivi ni kweli rais wa jamhuri akienda zanzibar anakuwa chini ya rais wa zanzibar?
Haya nimeyasikia kwenye sherehe za mapinduzi; Mh.rais wa serikali ya mapinduzi zanzibar. Mh rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania... Hivi ni kweli rais wa jamhuri akienda zanzibar anakuwa chini ya rais wa zanzibar?
zomba JF-Expert Member Joined Nov 27, 2007 Posts 17,239 Reaction score 3,939 Jan 12, 2011 #2 Yes, Zanzibar ni nchi iliyounda Muungano wa Nchi mbili zilizokubaliana kuungana.
Gaijin JF-Expert Member Joined Aug 21, 2007 Posts 11,812 Reaction score 5,305 Jan 12, 2011 #3 Jackbauer said: Haya nimeyasikia kwenye sherehe za mapinduzi; Mh.rais wa serikali ya mapinduzi zanzibar. Mh rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania... Hivi ni kweli rais wa jamhuri akienda zanzibar anakuwa chini ya rais wa zanzibar? Click to expand... Kwenye masuala ya Zanzibar, anakuwa chini. Akienda masuala ya kimuungano anakuwa at the top
Jackbauer said: Haya nimeyasikia kwenye sherehe za mapinduzi; Mh.rais wa serikali ya mapinduzi zanzibar. Mh rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania... Hivi ni kweli rais wa jamhuri akienda zanzibar anakuwa chini ya rais wa zanzibar? Click to expand... Kwenye masuala ya Zanzibar, anakuwa chini. Akienda masuala ya kimuungano anakuwa at the top
M Mbalinga JF-Expert Member Joined Apr 9, 2010 Posts 1,716 Reaction score 1,375 Jan 12, 2011 #4 Jackbauer said: Haya nimeyasikia kwenye sherehe za mapinduzi; Mh.rais wa serikali ya mapinduzi zanzibar. Mh rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania... Hivi ni kweli rais wa jamhuri akienda zanzibar anakuwa chini ya rais wa zanzibar? Click to expand... Sisi macho na masikio yetu yako Arusha kwenye mazishi ya mashujaa, wewe untuletea mambo ya hao wasanii? hatuna muda wa kujadili mambo yao, sisi sasa tunafikiria ukombozi wa mtanzania.
Jackbauer said: Haya nimeyasikia kwenye sherehe za mapinduzi; Mh.rais wa serikali ya mapinduzi zanzibar. Mh rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania... Hivi ni kweli rais wa jamhuri akienda zanzibar anakuwa chini ya rais wa zanzibar? Click to expand... Sisi macho na masikio yetu yako Arusha kwenye mazishi ya mashujaa, wewe untuletea mambo ya hao wasanii? hatuna muda wa kujadili mambo yao, sisi sasa tunafikiria ukombozi wa mtanzania.
MESTOD JF-Expert Member Joined Nov 12, 2010 Posts 4,798 Reaction score 2,010 Jan 12, 2011 #5 Ni kweli, Zanzibar ni State katika Muungano ambayo ina madaraka na mipaka kijiografia.
Nicksixyo JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 944 Reaction score 263 Jan 12, 2011 #6 Ndio maanake...Huwezi ukaenda home kwa mtu ukaenda kuwa mkuu,hata kama kwako wewe ni mkuu kiasi gani.Kwanza huyu zuzu tu nafuu huyo wa Zanzibar..!
Ndio maanake...Huwezi ukaenda home kwa mtu ukaenda kuwa mkuu,hata kama kwako wewe ni mkuu kiasi gani.Kwanza huyu zuzu tu nafuu huyo wa Zanzibar..!