Property for sale - bunju dar es salaam

Mlenga

Member
Dec 9, 2013
16
0
Nyumba inauzwa. Iko Bunju, Block No. 20, Plot No. 50. Kiwanja kimepimwa na kina hati, kiko kwenye Eneo la Mradi wa viwanja 20,000. Ukubwa wa kiwanja ni Mita za Mraba 1444 (Low Density)
Nyumba haijaisha kama inavyoonekana kwenye picha. Ina vyumba vitatu vya kulala, ambapo kimoja ni master, sebule ya kukaa, sebule ya chakula na Jiko. Eneo linafaa kwa makazi na biashara.
Kwa maelezo zaidi, bei na maelewano wasiliana na benmlenga@gmail.com, simu 0755769291, 0655769291

Picha ya mbele.jpg
Inavyoonekana kwa mbele.

Picha ya Ubavuni.jpg
Inavyoonekana kwa ubavuni.
 
CYBERTEQ

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
7,358
0
Nyumba inauzwa. Iko Bunju, Block No. 20, Plot No. 50. Kiwanja kimepimwa na kina hati, kiko kwenye Eneo la Mradi wa viwanja 20,000. Ukubwa wa kiwanja ni Mita za Mraba 1444 (Low Density)
Nyumba haijaisha kama inavyoonekana kwenye picha. Ina vyumba vitatu vya kulala, ambapo kimoja ni master, sebule ya kukaa, sebule ya chakula na Jiko. Eneo linafaa kwa makazi na biashara.
Kwa maelezo zaidi, bei na maelewano wasiliana na benmlenga@gmail.com, simu 0755769291, 0655769291

View attachment 125648
Inavyoonekana kwa mbele.

View attachment 125649
Inavyoonekana kwa ubavuni.

nisikuseme sana kwa sababu we mgeni humu! hapa watu huwa wanaweka bei ya kuanzia, mtu anapopiga simu anajua bei ya kuanzia na mnaanza kunegotiate kwa kiwango alichonacho, siyo mtu anapiga anajijua kabisa ana milioni kumi na sita halafu unakuja kumwambia bei ni milioni sitini!!!!!..hapo ni usumbufu, upotevu wa vocha, na hata wewe utaona watu wanakudhihaki!..au wewe ni dalali mkuu?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom