Propaganda za CCM ndani ya ch 10

Yaani Channel 10 wanamwenzi mwandishi wao kwa kuwapatia Magmba airtime kuverify ignorance na brutality ya CCM??? Tuisusie Channel 10 kwa upuuzi huo!!
 
Mimi nafikiri hawa watawala wetu wanajiandaa kuhama nchi. Ujinga na uongo wanaousema hazionyeshi bado wana hata chembe ya Tanzania kwenye mioyo yao. Akili zao zimewaisha kabisa. Cha ajabu wanafikiri tuna akili ndogo kiasi hicho mpaka tuamini uongo wanaousema.
 

Swali la msingi ambalo nilitegemea Mwandishi aliyekuwa anaongea naye angemuuliza ni Hilo katazo la mikutano lilikuwa la CDM tu?akimpa mifano ya bububu,Mwanza na chaguzi za CCM.
 
Shigela, nape, mwandosya, nchimbi nk woote wanasema cdm wanaua watu! Kweli hamna aliyenusurika ccm! Wote akil 100% -100%

Hapo anaongezeka na tendwa aliyepewa cheo kwa fadhila ni walewale ambao hawataki kukubali kwamba wananchi wamechoka na ccm
 
Shigela, nape, mwandosya, nchimbi nk woote wanasema cdm wanaua watu! Kweli hamna aliyenusurika ccm! Wote akil 100% -100%
Mwandosya hivi aliugua nini au anaugua nini hadi sasa? alikuwa na kasi ya Urais wamemtenda kwa maradhi ambayo amepoteza sifa za kuwa Rais lakini bado anatetea CCM au kwa sababu ya Uwaziri usio na wizara maalum.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…