mathematics
JF-Expert Member
- Feb 21, 2012
- 3,324
- 1,116
Nice and very little used PROJECTORS from USA available, different type suitable for many functions. You are welcome! 0752-858693 / 0714-345958
Mathematics Nadhani ni mgeni kweli kwenye hili dimba,
Simu ni hatua ya mwisho baada ya mteja kutoa uamuzi kununua au maelezo ya mwisho juu ya bidhaa hasa kwa sababu inahusisha gharama, maswali yote ya msingi kuhusu bidhaa unazouza yanatakiwa yajibiwe kwenye Tangazo lako.
Mfano Unaposema various Type; Umeshindwa kuzi-mention na kuweka specification hata za danganya toto?, Picha je? basi hata bei unayouzia unataka tukuulize kwenye simu gharama ya simu itakuwa compensated kwenye Bei ya Bidhaa?
Jaribu kurekebisha baadhi ya mambo ya msingi urahisishe zoezi!
Weka bei dada
weka bei kaka
Asante. Sasa tueleze ni LCD projectors, 16mm projectors, ni aina gani ya projecors kwa ajili ya kazi gani, models, picha, hali ya projectors, Bei za kila aina, etc. Ukifanya hivyo utashangaa mara moja watu watajitokeza kuliko kuweka namba za simu tu. Hapa sikutozi chochote kwa ushauri huu
@Mkulima kuna LCD/3LCD/DLP ,tell me what else do you want to know? Thank you.
Nice and very little used PROJECTORS from USA available, Epson projectors and other different types, project large image in the screen up to 300 inches diagonal. They can be suitable for many functions, watching movie in big screen, watching football match in big screen, presentations etc. Only TSH 560,000/= ! Serious buyer call: 0752-858693 / 0714-345958
View attachment 48589 View attachment 48590
weka bei kaka
Mathematics Nadhani ni mgeni kweli kwenye hili dimba,
Simu ni hatua ya mwisho baada ya mteja kutoa uamuzi kununua au maelezo ya mwisho juu ya bidhaa hasa kwa sababu inahusisha gharama, maswali yote ya msingi kuhusu bidhaa unazouza yanatakiwa yajibiwe kwenye Tangazo lako.
Mfano Unaposema various Type; Umeshindwa kuzi-mention na kuweka specification hata za danganya toto?, Picha je? basi hata bei unayouzia unataka tukuulize kwenye simu gharama ya simu itakuwa compensated kwenye Bei ya Bidhaa?
Jaribu kurekebisha baadhi ya mambo ya msingi urahisishe zoezi!
Mathematics Nadhani ni mgeni kweli kwenye hili dimba,
Simu ni hatua ya mwisho baada ya mteja kutoa uamuzi kununua au maelezo ya mwisho juu ya bidhaa hasa kwa sababu inahusisha gharama, maswali yote ya msingi kuhusu bidhaa unazouza yanatakiwa yajibiwe kwenye Tangazo lako.
Mfano Unaposema various Type; Umeshindwa kuzi-mention na kuweka specification hata za danganya toto?, Picha je? basi hata bei unayouzia unataka tukuulize kwenye simu gharama ya simu itakuwa compensated kwenye Bei ya Bidhaa?
Jaribu kurekebisha baadhi ya mambo ya msingi urahisishe zoezi!
Mimi ni nina Tshs 360,000 Taslim. Vipi nitapata?
Ningependa kujua Model ya hiyo Projector, Resolution zake, Umbali recomended, warranty, kama ni new or used etc.. nikiridhika na sifa zake nitakutafuta..
Mi ninayo EPSON imekufa Bulb,mkuu,life time ya bulb yake ni masaa mangapi?yamesha2umika mangapi? Kwani tatizo kubwa la projector ni bulb,kwani huwa zina masaa ya kutumika,na bei za bulb inaweza ikazidi bei hiyo unayoiuzia,na haipatikani ovyo ovyo.