mathematics
JF-Expert Member
- Feb 21, 2012
- 3,324
- 1,116
Mkuu hatuna bulb, labda ufike ofisini kwetu tunaweza kukuagizia tukikubalina bei na vigezo, utakuja na model number ya optoma projector yako. ofisi yetu sehemu ilipo na namba za simu zipo hapo juu. KaribuWakuu mie nina projector yangu imekufa bulb anaejua zinapopatikana anijuze au mwenye uwezo wa kurekebisha ani-Pm.
Projector yenyewe ni aina ya optoma.
thenkyu for the appreciation. Karibunice ad, matangazo ndio yanatakiwa yawe hivi!!!
mathematics
thats a nice ad. Haihitaji maswali zaidi. A serious buyer will have to trace you.
Will jot down your contacts and trace you mitaa hiyo ya Ubungo.
One qn, Mna vitu vingine zaidi ya projector mnavyouza?
Thanks mkuu.
thenkyu for the appreciation. Karibu
pamoja sana, nitapita pande hizo nichukue moja niipeleke mkoani kuna kajisehemu huko nataka onyesha sinema wanakijiji nipige pesa, si unajua tena mambo ya fursa! 😛lane:
Mkuu hatuna bulb, labda ufike ofisini kwetu tunaweza kukuagizia tukikubalina bei na vigezo, utakuja na model number ya optoma projector yako. ofisi yetu sehemu ilipo na namba za simu zipo hapo juu. Karibu
mkuu karibu sana,nitakuja kukuona tena kuhusu hizo projector kwani zina umuhimu kwangu
mkuu mathematics naomba kwanza unitoe ushamba kidogo juu ya matumizi binafsi ya projector,je naweza kuitumia kwenye eneo dogo?lets say chumba chenye ukubwa wa 12ft x 12ft? Je naweza kuonganisha na decorder ili kuangalia Tv?ni hayo tu mkuu.
karibuMkuu Hisabati nitakutafuta soon!
new stock is availablenitakuja kukuona tena kuhusu hizo projector kwani zina umuhimu kwangu
new stock is available.Mkuu Hisabati nitakutafuta soon!
new stock is available.