Wakuu kuweni makini, projector sio sawa na tv au king'amuzi. Projector zina lifespan zake za masaa ya kufanya Kazi,usije kununua projector iliyobakisha masaa kadhaa kabla haijasizi.