Z Zait New Member Joined Nov 21, 2012 Posts 3 Reaction score 0 Dec 15, 2012 #1 0714 943684 ndio namba ya kuwasiliana na nn
Candid Scope JF-Expert Member Joined Nov 8, 2010 Posts 11,897 Reaction score 6,933 Dec 15, 2012 #2 Zait said: 0714 943684 ndio namba ya kuwasiliana na nn Click to expand... Kuna projector za aina mbalimbali na kazi mbalimbali, hatujui ni projector gani unayotutangazia. Ungeeleza matumizi yake, bila kusahau kuweka hapa kivuli chake itakujengea soko zuri bila kusumbuliwa na maswali mengi ambayo yanaweza kuepukika.
Zait said: 0714 943684 ndio namba ya kuwasiliana na nn Click to expand... Kuna projector za aina mbalimbali na kazi mbalimbali, hatujui ni projector gani unayotutangazia. Ungeeleza matumizi yake, bila kusahau kuweka hapa kivuli chake itakujengea soko zuri bila kusumbuliwa na maswali mengi ambayo yanaweza kuepukika.
panyabuku Member Joined Apr 2, 2012 Posts 81 Reaction score 4 Jan 5, 2013 #3 Nami nahitaji Projector mkuu nitakutafuta ila inakaa masaa mangap ukianza kuitumia??