Bei yake ngapi mkuu?Unaweza uka ni pm kwa aliye serious
zote zote zina masaa 2000 badoBei yake ngapi mkuu?
weka specifications zake (lumens ngapi, aspect ratio, resolution yake, n.k...)
ni mpya ama used? Kama used ni kwa muda gani (masaa)? Au
Imebakisha masaa mangapi ya taa yake?
punguza muda wa kujibujibu maswali yaleyale toka kwa watu tofauti tofauti kwenye pm.
zote zote zina masaa 2000 bado
Nimeku pm ama mpigie huyu mtu simu atakusaidia 0715166505Bei shngapi au hadi niku-PM??
bado unahitaji projector?Bei shngapi au hadi niku-PM??