Ndugu, natanguliza shukran zangu za dhati.
Kwa anaefahamu software nzuri ya ku editia video, kuunganisha picha na kuziwekea mziki. Tafadhar naomba anijuze.
NB: Nataka software za computer na siyo za android
cyberlink powerdirector ndio best kwangu, ni rahisi kutumia just kudrag na kudrop na pia ni very powerfull, pia ina templates kama hujui chochote unachagua tu templates unaipa content inamaliza kila kitu