Kwanza pole mkuu, pia nikutaarifu tu unapotaka kujifunza programming kwanza jenga passion, penda programming na hakikisha una focus baada ya mda fulani unataka uwe wapi. Pia usiprogram tu mradi, chagua target kama ni web au app japo ni muhimu ukajifunza vitu vingi ili uwe na uhuru wa kuchagua utapotaka kutafuta vibarua ila ni muhimu ukawa na kaeneo ambako hata ikitoea world challenge utasema unaweza. Binafri nimesoma Mechanical Engineering, katika semester flani tulikuwa na module ya programming halafu badae tunasoma robotics, ebana kwa mapenzi yangu na maroboti(hata movie kama haiuhusishi robots basi iwe ya teknolojia) niliendeleza gurudumu la programming mpaka nikafikia web design, naweza kuandika libraries, navitu vingine kibao.Sina uzoefu kabsa na haya mambo nilijaribu kujifunza kupitia youtube,
Lakn nilishindwa hatua zwanzo kabsa.
Nilitamani hasa nijifunze hasa kwenye mambo ya apps! Kwa wenye uzoefu naweza jifunza peke yangu kupitia youtube kama ndio
Naomben njia nzuri nizifuate
Katika programming kuna field kadhaa kama ;
-web development
-application development
-database development
-game design
Nitaomba nirekebishwe kama nimekosea hapo juu au kama kuna field nimeiacha.
Swali langu ni kwamba mtu anaweza akajifunza field zaidi ya moja na akaweza kuzimudu kufanyia kazi au mtu anatakiwa kuwa specialist kwenye field moja tu?
Web development nahitaji kujua nn na nn?
Nina wasiwasi ni informatics udomnilipata A ya java lakini mpaka leo sijuagi niliipataje pataje
Apo ningeshauri upige low level languages C/C++, Assembly zipo close na hardware.Wakuu kama kuna mtu anaweza kunipigisha kama short course kuhusu embedded system ani pm au hata hapa hapa afanye ku reply tuyajenge
hahaaaa A YA KAMUZOLANina wasiwasi ni informatics udom
Aise hata mim nina A ya java ila nina uhakika ubongo wangu hauna uzito huo kwenye java
Kiukweli kuangalia tutorial youtube ili ujifunze programming kuna ukakasi , issue inakuja hivi wafundishaji wengi wanapokuwa wakielezea kitu huwa wanafuta vitu vya mwanzo halafu wanaendelea na vi part vingine, hii inakuwa ngumu kwa unayejifunza kujenga mtiririko mzuri.Sina uzoefu kabsa na haya mambo nilijaribu kujifunza kupitia youtube,
Lakn nilishindwa hatua zwanzo kabsa.
Nilitamani hasa nijifunze hasa kwenye mambo ya apps! Kwa wenye uzoefu naweza jifunza peke yangu kupitia youtube kama ndio
Naomben njia nzuri nizifuate
Kiukweli kuangalia tutorial youtube ili ujifunze programming kuna ukakasi , issue inakuja hivi wafundishaji wengi wanapokuwa wakielezea kitu huwa wanafuta vitu vya mwanzo halafu wanaendelea na vi part vingine, hii inakuwa ngumu kwa unayejifunza kujenga mtiririko mzuri.
Kingine ni kwamba usitegemee kuelewa leicture ya masaa matatu kwa kuangalia tutorial kwani kuna muda unakuwa bored unajikuta una next next.
Mimi njia ninayokushauri tafuta kitabu cha programming chochote labda cha web designing kisome kwa masaa mawili (sio chote ila sehemu ambayo utakuwa umeweza kuielewa ndani ya hayo masaa mawili), baada ya kumaliza fanya zile assignment ambazo zinakuwa in terms of projects ndani ya saa 1½ halafu nusu saa iliyobaki rekebisha code zako ,kwa kuangalia mahitaji ya project na kinachokuwa displayed kwenye web browser yako.
Mkuu kichwa chako ndio kinaamua.Mkuu inaweza kuchukua muda gani kujifunza JAVA kwa ajili ya application development?
Inaweza kufika miaka 2?
Hapo itategemea na uwezo wako binafsi. Uwezonqa kuelewaMkuu inaweza kuchukua muda gani kujifunza JAVA kwa ajili ya application development?
Inaweza kufika miaka 2?
hiyo lugha mkuu nimesoma issue ni basic za electronic kichwa changu chengaApo ningeshauri upige low level languages C/C++, Assembly zipo close na hardware.
Mkuu kichwa chako ndio kinaamua.
Wakuu Google wanasema kwamba watu watumie kotlin kutengeneza Android apps kuliko Java.Hapo itategemea na uwezo wako binafsi. Uwezonqa kuelewa
Kotlin ni imetengenezwa special for android developers.Wakuu Google wanasema kwamba watu watumie kotlin kutengeneza Android apps kuliko Java.
Kwanini wanashauri Kotlin kuliko Java?
Asante sana kwa jibu lako mkuu.Kotlin ni imetengenezwa special for android developers.
Java ni general language ambayo mwanzo haikulengwa kwa ajili ya android. Baadae waliamua ku adopt for android development.
Kama umetumia java ..utagundua kotlin ni upgrade ya java. Zimefana syntax.. only contlin ina more built in features for android app developement while java ni bare coding.
ayseehiyo lugha mkuu nimesoma issue ni basic za electronic kichwa changu chenga