Programming ya funguo za magar zenye sensor na remote

Programming ya funguo za magar zenye sensor na remote

Brainze11

Senior Member
Joined
Sep 2, 2012
Posts
173
Reaction score
56
Tuna fanya Programming ya funguo za magari zinazotumia sensor(transponder) na smart key(keyless or push to start key) Kwa magari madogo na makubwa eg. TOYOTA,VW,BMW,FORD, Benz, Iveco, Scania nk.

Kama umepoteza funguo ya gari inayotumia sensor(transponder) au unahitaji funguo ya zaida ( Spare key) wasiliana nasi:-

SIMU:0714704097.
Email:info@wakudesahrt.com
2b9fa7876190b647d0e0d09faf5f5099.jpg
39ab017f27a013a926d5c1dd1c7f4a4f.jpg
86ae9eaf9011d74c4457e03bab0077a4.jpg
 
ndo nyie mliopo mbez beach mnatazamana na puma au
 
Mkuu asante kwa taarifa naomba tuwekee
bei zako zinarange kuanzia wapi mpaka wapi?
kwa mfano magari uliyoyataja..

Pili naomba kujua usalama wa gari
la mteja,maana kitendo cha kuwapa
ufunguo wake ili mmtolee copy,
kinaweka usalama wa gari lake rehani
kwani mambo haya ya electronics
ni rahisi kunukuu baadhi ya data
na wenye nia ovu wanaweza kuzitumia vibaya
nitashukuru nikijibiwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom