Smart Technician
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 653
- 829
Duh, iwe rahisi? Mbona kama umeonyesha dalili za uvivu??? Anyways....pia lugha hio iwe ni
Rahisi kujifunza muda mfupi
Iwe ni lugha ntayojifunza mwaka 2018 na kuimaliza isiwe ndefu sana
Iwe ya kisasa
Umeweza kutengeneza nn mkuu ?Tena na uisome kweli baada ya hapo uta enjoy kama mm app za android kutengeneza ni sekunde ti
Haa hapana nataka kujifunza niwe na design sio kuibaUnataka kuwa Jambaz nn??
Je nikijifunza java nkaiweza nnaweza tengeneza android application na kuimaliza pasipo kujifunza lugha nyingine yeyoye?Duh, iwe rahisi? Mbona kama umeonyesha dalili za uvivu??? Anyways...
Kwa android applications jifunze JAVA au kotlin (I recommend java)
Kwa web development anza na HTML na css hizi ndio basic baada ya hapo utaamua uwe backend(usome php au python,uchague mojawapo alafu usome na framework yake) au front end developer(usome javascript na framework zake walau moja) ....
Yangu ni hayo mkuu...
Html na javascript ipi ni the best kwa web design kuanza nayo?Soma HTML JavaScript language
Mbona unatia mashaka mkuu?? Kwa uoga huu utaweza kweli kiongozi!! Wala nisikudanganye, unapoongelea programming unaongolea ulimwengu wa kusoma na kujifunza bila kuchoka!!Je nikijifunza java nkaiweza nnaweza tengeneza android application na kuimaliza pasipo kujifunza lugha nyingine yeyoye?
Nashukuru kwa kunielimisha vizuri . kwa ushauri mzuri ambao mmetoa nimeamua kusoma kuanza na JAVAMbona unatia mashaka mkuu?? Kwa uoga huu utaweza kweli kiongozi!! Wala nisikudanganye, unapoongelea programming unaongolea ulimwengu wa kusoma na kujifunza bila kuchoka!!
Ukisha soma java (hapa utatumia muda mwingi kidogo) , kwenye kutengeneza apps lazima tena usome xml na android development yenyewe!!
Kwa kifupi baada ya kusoma java utasoma tena:
1. Android development yenyewe.
2. XML (kama unajua html inaweza isichukue muda)
3. Material design
Kwa hiyo sio kwamba ukisoma java ndio umemaliza kazi, bado kuna vingi vya kusoma na kama wewe ni mvuvi its either ubadilike au u quit!!!
Hii naikubali maana jamaa anafundisha as if uko darasani!Nashukuru kwa kunielimisha vizuri . kwa ushauri mzuri ambao mmetoa nimeamua kusoma kuanza na JAVA
Je ni wapi nnaweza pata vitabu na muongozo wa kuanza kusoma hata link ya kusoma java?
Pia software gani ninatakiwa kuwa nazo kwenye PC nnapojifunza?
nashukuru sana. ngoja nianze course Mungu akinijaria ntaleta na mrejeshoHii naikubali maana jamaa anafundisha as if uko darasani!
Java Tutorial For Beginners - YouTube
Kuna hii pia...
Java (Beginner) Programming Tutorials - YouTube
https://www.youtube.com/playlist?list=PLFE2CE09D83EE3E28
Kuhusu kitabu google "first heads Java pdf" hiki kiko simple na hakichoshi kusoma....
Kuhusu softwares utazo hitaji... kwenye hizo video zote wameelezea kinachohitajika!!!
Hii safari sio rahisi ila kama una nia utatoboa!!
Kila la heri mkuu
Ngoja nikomae nayo uvivu naweka pembeni sasaMkuu soma java for mobile development ni default kwa android.
Pia hata e-commerce web ni nzuri.
Poa mkuu mafanikio mema hii kitu ina hitaji muda mwingi sana na practice ya kutosha.Ngoja nikomae nayo uvivu naweka pembeni sasa