Programming language gani zitanifaa kwa hii specialization yangu?


Wewe ni mtu umeongea ukweli sana...ukigusa swift apple wanaisifia balaa ...ukigusa c++ au c wadau wake(a.k.a veteran) wataisifia balaa....ukigusa java wazee wake watakusimulia kila utamu.

Kila lugha ni nzuri...lakini kila kizuri kina ubaya pia aanze na lugha yoyote tu atakayoona inampatia stimu ya kuisoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…