GIPAMA JF-Expert Member Joined May 21, 2016 Posts 1,103 Reaction score 543 Jun 10, 2017 #1 Mwenye kujua programme inayoweza kutuma email na attachmet kwa pamoja naomba anisaidie.
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,289 Reaction score 72,516 Jun 10, 2017 #2 Hauna Gmail, yahoo au outlook mkuu kwenye simu?
GIPAMA JF-Expert Member Joined May 21, 2016 Posts 1,103 Reaction score 543 Jun 10, 2017 Thread starter #3 Joseverest said: Hauna Gmail, yahoo au outlook mkuu kwenye simu? Click to expand... Gmail ipo, ila sasa sehem ya kuattach vitu kama vyeti, picha, video haipo.
Joseverest said: Hauna Gmail, yahoo au outlook mkuu kwenye simu? Click to expand... Gmail ipo, ila sasa sehem ya kuattach vitu kama vyeti, picha, video haipo.
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,289 Reaction score 72,516 Jun 10, 2017 #4 GIPAMA said: Gmail ipo, ila sasa sehem ya kuattach vitu kama vyeti, picha, video haipo. Click to expand... ipo mkuu ila we huioni...unatumia simu au pc?
GIPAMA said: Gmail ipo, ila sasa sehem ya kuattach vitu kama vyeti, picha, video haipo. Click to expand... ipo mkuu ila we huioni...unatumia simu au pc?
Handsome man JF-Expert Member Joined May 6, 2017 Posts 880 Reaction score 959 Jun 10, 2017 #5 Ipo fanya uchunguzi makini tumia Gmail
GIPAMA JF-Expert Member Joined May 21, 2016 Posts 1,103 Reaction score 543 Jun 10, 2017 Thread starter #6 Joseverest said: ipo mkuu ila we huioni...unatumia simu au pc? Click to expand... Simu.....
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,289 Reaction score 72,516 Jun 10, 2017 #7 GIPAMA said: Simu..... Click to expand... Hiyo sehemu ipo..ngoja nkutumie screenshot
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,289 Reaction score 72,516 Jun 10, 2017 #8 GIPAMA said: Simu..... Click to expand... ANGALIA HIYO SEHEMU ILIYOZUNGUSHIWA DUARA..UKIBOFYA HAPO ITAKULETEA OPTION YA KU- ATTACH FILE LAKO
GIPAMA said: Simu..... Click to expand... ANGALIA HIYO SEHEMU ILIYOZUNGUSHIWA DUARA..UKIBOFYA HAPO ITAKULETEA OPTION YA KU- ATTACH FILE LAKO