Programme transfer, NACTE

Jasama

Member
Joined
Aug 22, 2021
Posts
19
Reaction score
6
Hivi dirisha la kuhama kozi kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza lipo tayari au bado!? Na kama bado litakuwa wazi lini?
 
Hivi dirisha la kuhama kozi kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza lipo tayari au bado!? Na kama bado litakuwa wazi lini?
Kwa nnavyojua, kuhama course haiwahusu NACTE ila chuo ulichoomba.Mfano umeomba diploma ya Business administration CBE Sasa hujaipenda hiyo course unataka uhamie kwenye procurement and supply basi unaomba chuo ndicho kikupe nafasi kulingana na ufaulu wako kwenye hiyo course mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…