Program inayo tengeneza social network app

Napia netbeans , xcode na eclipse zote znatengeneza social network app
Mkuu siwezi sema ipi iko bora zaidi ya nyenzake mfano xcode ni IDE imetengenezwa na apple kusaidia developers kutengeneza apps na softwares za platforms zao.
Kila IDE inategemea na mtumiaji mwenyewe.
Mtafute jamaa anajiita matangoo if not mistaken yuko humu ni one of the best programmers and teachers nnaowafahamu.
Personally siyo mkali sana wa hizo mambo kwakuwa inahitaji practise na mimi nimezama kwenye kitu kingine.
Naweza program kwa c++ kwa vitu vidogo ambavyo siyo complicated sana pia kidogo php na java script.
Html na css siyo programming language bali ni mark up languages zinasaidia kuleta mpangilio na muonekano wa toviti ndizo zina determine hiki kikae hapa hapa pawe na rangi ile hapa maneno hapa picha hapa mstari lakini kazi kubwa imejificha kwenye codes kama php au java n.k
 
Duuh uko vizur bro hongera sana naomba unisaidie setup ya xcode, eclipse na netbeans
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…