Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,221
- 2,425
Kama unatumia simu basi ni muhimu kuwa na program hizi 5, kama hauna basi your phone is useless ๐, wakati unafungua simu yako Toka kwenye box lake baada ya kununua kuna hisia fulani ya Furaha unaipata sio ๐.
Sasa leo nakupa program 5 Muhimu za kuwa nazo kwenye simu yako unaponunua simu mpya au kwa simu yako ya muda mrefu unaitumia ๐
1๏ธโฃ Oto Music
Hii ni program nzuri sana ya kusikiliza Audio mbalimbali kwa Watumiaji wa simu za Android na Ios ukitumia Utaweza ku enjoy kwani muundo wake mzuri, utumiaji wake ni Rahisi, mipangilio yake iko poa mpaka raha itafute sasa.
2๏ธโฃ Avast Antivirus
Naamini Matumizi ya antivirus kwenye vifaa vya android bado ni muhimu sana kwa usalama wetu, sasa kupitia program ya Avast inakusaidia kuweza kuongeza ulinzi kwenye simu yako Bure bila kulipia chochote dhidi ya "Threats" yoyote.
3๏ธโฃ Homework Out
Mazoezi ni muhimu asikuambie mtu ni sehemu moja wapo ya kujenga Afya yako kuwa imara, sio lazima uende Gym kupitia simu yako Utaweza kutengeneza mwili wako na kuwa vizuri bila shida yoyote na kuondokana na magonjwa ambayo yanasumbua watu wengi kwani inakupangilia muda wa mazoezi na kukufanya kuwa Fit.
4๏ธโฃ Brave
Kama unapenda kutumia sana internet kwenye kuperuzi mambo mbalimbali nazani wengi wanatumia Chrome kwenye kutafuta vitu mitandaoni sasa achana nayo Kuna app inaitwa Brave ni Super cool apps ukitumia Utaweza ku enjoy sana. Kwanza inafunga matangazo ,iko faster bila longolongo inaonyesha mpango matangazo mangapi yameyafungia nk.
5๏ธโฃ Inshot
Najua unapenda ku edit video zako sio, basi achana na app kma vile Capcut kuna hii Inshot ni balaa inakusaidia kuweza ku edit video au picha na kuziingizia Audio, kuweka Ai speech, kutafsiri video zako nk sio poa itafute sasa.
Bila kusahau program moja ya upendeleo ni hii "Microsoft 360" ni app nzuri kwako wewe mtumiaji wa simu za Android
kwani Utaweza ku scan documents, kuchukua ujumbe toka kwenye website na kubadilisha kuwa documents , kuedit pdf nk.