TEKNOLOJIA
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 4,305
- 2,563
Haijapita hata mwezi tangu Professor Mhongo aondolewe kimizengwe Wizarani tayari Watanzania tushaanza kulionja joto ya jiwe katokana na kukatwa umeme mara kwa mara hususani hapa Morogoro. Hii ni siku ya tatu sasa tangu TANESCO waanze kukata kata umeme.Naona waziri mpya wa Nishati na Madini ameanza kufanya vitu vyake.Tutakumbuka Mhongo.