Taasisi nyingi za serikali ambazo asili ya majukumu yake ni kutumia mabavu zina tatizo la kuwa na professionals wachache sana. Taasisi kama vile TAKUKURU, POLISI, na MAGEREZA ni taasisi ambazo zinatakiwa kuwa na watendaji ambao ni professionals wa hali ya juu ili kuhakikisha kuwa haki inatendeka kila mara kwa kutomwonea mtu au kuzembea mbele ya mhalifu. Mbali ya mafunzo ya kutumia nguvu kama matumizi ya pingu, matumizi ya silaha, na namna ya kujilinda (self defense), watu hawa wanatakiwa wae na elimu ya juu ya kitaalamu katika nyanya nyingine kama ifuatavyo:
TAKUKURU na POLISI wanatakiwa wawe wamesomea nyanja kama Criminal Justice, Criminal psychology, Interrogation techniques, Human Rights Law, Crisis Management, The Law of Evidence, na Constitutional Rights Law.
MAGEREZA wanatakiwe wawe pia wamesomea nyanja kama Criminal Psychology, Human Rights Law, Crisis Management, na Educational Psychology.
Mara nyingi sana tumesikia uchunguzi wa kipolisi au TAKUKURU umekamilika na kupelekwa na DPP, lakini ama uchunguzi huo kutupiliwa mbali, na au kesi inapofanyika serikali inashindwa ama kwa technicalities au kwa kukosa ushahidi imara. Hivi karibuni tumesikia wagombea wakihojiwa na TAKUKURU na baadaye kuachiwa lakini sina uhakika kama kweli hao TAKUKURU walikuwa wanawahoji wagomea hao kitaalamu kiasi cha kujiridhisha kuwa ama kuna kosa au hakuna lolote.
Uushauri wangu kwa serikali ijayo, imarisha muundo wa tasisisi hizi mbili ambazo zina jukumu kubwa sana la kulinda sheria ziwe na watu wenye ujuzi na kazi zao. Ninajua kuwa polisi kuna wanasheria ila ni watu wakubwa sana ambao hupelekewa ripoti kutoka kwa watu ambaqo hawako trained katika sheria, na hivyo kufanya shughuli yote ya upelelezi iwe imejengwa kwenye msingi dhaifu.
Madai ya mama Sita hivi Karibuni kuwa TAKUKURU inawabambikiza kesi watu, yanatia doa sana kwenye kredibility ya TAKUKURU hasa itakagundulika kuwa interrogation ile haikufanyika professionally.
Baadhi ya wabunge ambao wanamaliza muda wao walioshiriki kupitisha hiyo sheria, watajuta sana kuipitisha kwa kuwa imeishia kuwaumiza.
Maandishi yangu yaliyoko kwenye rangi nyeupe, nadhani paragraph mbili za kwanza huenda hayaonekani sawasawa. Wasiwasi wangu ni kuhusu training waliyo nayo watu hawa hasa endapo ama watshindwa mahakamani au waksihidnwa hata kupeleka kesi mahakamani. Ni jambo la ajabu kuwa polisi wamekuwa kama wanaisasa hadi kufiklia kukemewa na msajiri wa vyama kuwa polsi wasie na upendeleoa. Utakuta polisi anaongea kama mwanasiasa badala ya kuongea kama law enforcemenet professional. Miaka michache iliyopita nilimsikia aliyekuwa mkuu wa polisi akidai hadharani kuwa CUF hawatashinda uchaguzi mbele yake, hiyo ilionyesha wazi kuwa jamaa yule hakuwa na profesional training ya upolisi.
Unajua mkuu, in short hakuna sector or department ya serikali inayofanya kazi at least 60% proffersionally. I have done no research on this but it can be seen. The only department iliyowahi kujaribu miaka ya nyuma ilikuwa ni Agriculture.
Tatizo naloliona ni hili la kufanya politiksi kila mahali hata kuler tusikohitaji. Na kwa viongozi wa staili ya muungwana ndiyo kwanza tunapiga hatua tano nyuma, moja mbele.
Ukiangalia kiundani hata hao TRA bado wana mishahara duni na poor condition of service and workplaces. The only thing inayowapa unafuu ni rushwa.
Kuna kila haja ya kuanza upya, upya kabisaaaaaaaaaaa!!!!
Mkuu kama ingekuwa 60 percent ina maana tungekuwa 60 percent better of than we are.
Unajua mkuu, in short hakuna sector or department ya serikali inayofanya kazi at least 60% proffersionally. I have done no research on this but it can be seen. The only department iliyowahi kujaribu miaka ya nyuma ilikuwa ni Agriculture.
Tatizo naloliona ni hili la kufanya politiksi kila mahali hata kuler tusikohitaji. Na kwa viongozi wa staili ya muungwana ndiyo kwanza tunapiga hatua tano nyuma, moja mbele.
Ukiangalia kiundani hata hao TRA bado wana mishahara duni na poor condition of service and workplaces. The only thing inayowapa unafuu ni rushwa.
Kuna kila haja ya kuanza upya, upya kabisaaaaaaaaaaa!!!!
Sidhani kama mishahara ya TRA ni duni hivyo, hiyo ni relative term tu. mwaka 1996 muda mfupi baada ya TRA kuanzishwa, mshahara wa chini wa TRA ulikuwa laki sita, hiyo ni kipindi ambacho mshahara wa chini serikalini ulikuwa ni kama elfu 20 au thelathini - not more than elfu 40. Sijui mishahara ya TRA leo lakini ni lazima mishahara yao ni mikubwa sana kuliko mfanyakazi mwingine yeyote wa serikali. Sababu ya kuifanya TRA iwe taasisis inayojitegemea ilikuwa ni khakikisha kuwa mishahara yao haiendani na ile ya wafanyakazi wengine wa serikali. TRA siyo idara ya serikali, ni kama ilivyo BOT, na TANROADS. Ningetaka POLISI na TAKUKURU nazo ziwe tasisisi zinazojitegemea kama TRA, BOT na TANROADS badala ya kuzifanya kuwa ni idara za serikali zinazoongozwa na wanasiasa!
Ulichosema ni kweli mkuu. Sijui kama hali siku hizi imebadilika lakini nakumbuka kwenye miaka ya 90... wale form four failers ndio walikuwa wanachaguliwa kujiunga na polisi. Sasa nadhani wengi wao ndio wanaoliunda jeshi la police la sasa.Ningependa polisi na Takukuru wawe na elimu ya juu na mishahara mikubwa sana kiasi cha kuwa wawe wanaogopwa sana na wahalifu!! Vile vile madaraka makubwa huendana na responsibilities kubwa. Adhabu kwa Law enforcement officer anayeshikwa na kosa la kupokea rushwa iwe ni kali sana na ya kukatisha tamaa kabisa.
Hayo ni makosa kwa sababu watu hawa hupewa jukumu kubwa sana la kulinda sheri za nchi. Nchi bila utawala wa sheria ni kama Somalia tu, na ili kuimarisha utawala wa sheria ni lazima kuwa na polisi wanaojua kulinda hizo sheria. Sasa kama utampa mtu asiyejua wajibu huo bali anfurahia mabavu aliyopewa na sheria anazoshindwa kulinda inakuwa ni kichekesho sana.Ulichosema ni kweli mkuu. Sijui kama hali siku hizi imebadilika lakini nakumbuka kwenye miaka ya 90... wale form four failers ndio walikuwa wanachaguliwa kujiunga na polisi. Sasa nadhani wengi wao ndio wanaoliunda jeshi la police la sasa.