Professional training

Professional training

Joined
Oct 18, 2016
Posts
10
Reaction score
4
we provide training in CISCO course such as Cisco Certified Network Associate(CCNA) & Cisco certified Network Professional (CCNP). We have a quality & effective CISCO laboratory which cover all areas of learning.
We also provide other course such as CISA, Ethical hacking, Oracle and Linux. Our prices are affordable. Our offices are open from 8:00AM to 8:00PM.
 
Attachments

  • IMG_20161010_173216.jpg
    IMG_20161010_173216.jpg
    192.3 KB · Views: 105
Wakuu sikilizeni

Mkileta matangazo ya hivi ni bora mkatupa na mwanga kdogo wa hiz training na course zenu mfano nan anapaswa kusoma hiz je ni lazima awe na msingi fulan before au

Kwa sababu kuna watu ambao tunapenda tuwe na knowledge ya vitu vingi sasa mkitupa mwanga tunapima moja kwa moja
 
Kwa course za hizo zinahitaji uwe na angalau certificate ya mambo ya ICT. Au pia kwa course ya CISCO kama mtu hana knowledge na mambo ya networking kuna course ambazo ataanza nazo ambazo ni CCNT1 na CCNT2, ambapo akimaliza hapo anakua na elimu ya networking sawa na level ya CCNA.
 
hiz mambo sijui Oracle ....mie najua Oracle ni mzimu
 
Wakuu sikilizeni

Mkileta matangazo ya hivi ni bora mkatupa na mwanga kdogo wa hiz training na course zenu mfano nan anapaswa kusoma hiz je ni lazima awe na msingi fulan before au

Kwa sababu kuna watu ambao tunapenda tuwe na knowledge ya vitu vingi sasa mkitupa mwanga tunapima moja kwa moja
Una akili sana kijana umeuliza Jambo LA msingi Mimi pia limenigusa
 
Wekeni hapo Mawasiliano ya ofisi kuna watu tupo Mikoani tujue I'll tujipange tuje kusoma
 
Tupe Ada sh Ngapi na kufanya mtihani wenyewe WA Cisco...!
Ada zetu kwa course ya cisco (CCNA ni Tsh 600,000/=) na kwa ORACLE database ni Tsh 600,000/=. na bei ya mtihani ni USD 350 kama ukisoma hapa kwetu. Kwa mtu ambaye hajasoma kwetu pia bei yake ni USD 350 lakini gharama hii inakua bila supervision kabla ya mtihani, ukitaka kuwa na supervisor atakaye hakikisha uwezo wako unakidhi kufanya mtihani bei yake inakua USD 450.
 
Vipi kuhusu NETWORKING POWER AND SWITCHING SYSTEM Ada ni bei na kozi ni Muda gani
 
Asante kwa swali zuri, power means electrical so in area of networking we have routing and switching instead of power and switching. so kwa course ya power and switching system duration yake ni wiki 7 ambayo imejumuisha classroom training + soft Lab + Physical device Lab. na bei yake ni Tsh 600,000/=
 
Ada zetu kwa course ya cisco (CCNA ni Tsh 600,000/=) na kwa ORACLE database ni Tsh 600,000/=. na bei ya mtihani ni USD 350 kama ukisoma hapa kwetu. Kwa mtu ambaye hajasoma kwetu pia bei yake ni USD 350 lakini gharama hii inakua bila supervision kabla ya mtihani, ukitaka kuwa na supervisor atakaye hakikisha uwezo wako unakidhi kufanya mtihani bei yake inakua USD 450.
Samahani kwa Hili swali nini Faida za kusoma ORACLE Database napozungumzia faida Nina maaana ntaweza kufanya nini baada ya kusoma ORACLE Database
 
Mkuu kinotel technology center hamna nafasi za kufundisha? nnaweza kufundisha CCNA kuanzia Theory mpaka Labs, vyote kwa Packet tracer, GNS3, Boson Netsim Mpaka Physical devices na wanafunzi wataenjoy sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom