ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 44,321
- 51,059
Tatizo sio uzawa,uwezo mbao? Babu yenu hajutaka kuwasomeaha akawa anasaidia Nchi zingine 😂😂😂Hili jambo hata mimi nashangaa sanaaaa tatizo tuwe na masomo ya ujenzi nchi.
Tenda apewe mzawa kwanza huu ndio uzalendo halisi.
Mojawapo ya kazi ya Investor ni lazima apike wenyeji ndio maana ya sheria ya local contentsMbona kwenye bandari hataki wa TZ wapikwe waendeshe bandari yao kwa ufanisi??
Anashangaza sana afu issue ya bandari mi naona Watalawala wenyewe wamekuwa wakiingilia sana kisiasa kupelekea mpaka compliance Kuwa hafifu kama kipindi kile cha mwenda zake kuna mstaafu alitaka kupitisha Vitu vyake Bure kwa vile tu aliwahi ku hold higher position uko serikalini, Autonomy kwenye mashirika yetu italeta sana ufanisi ila kuyatumia kwa ajili ya Political gain haitatufikisha popote, Leo ngoja DP world aje uone hata mambo fulani ya ovyo yataondoka bandarini nidhamu itakuwepo ila akiwekwa mzawa kila mtu atataka kuvuna mtaji wa kisiasa apoMbona kwenye bandari hataki wa TZ wapikwe waendeshe bandari yao kwa ufanisi??
Sasa kama mnakodisha hadi Wahandisi wa Barabara bandarini mnaweza kipi?Mbarawa mbona kama kuna ujumbe ana jaribu kuutuma, anataka kujustify wazo lake la Kukodisha bandari kwa kisingizo kuwa Tanzania hatuna wataalam wala Technology ya Kuendesha bandari Kisasa?
Mkuu sina data sana za Tanroad ila pia nachelea Kumuanini Mbarawa katika hiliSasa kama mnakodisha hadi Wahandisi wa Barabara bandarini mnaweza kipi?
Nasema hivi huo ujinga unafanyika Kwa sababu ni Mali ya Umma,ikiwa privately operated hakuna huo ujinga na ndio maana kelele ziko nyingi maana waliozoea vya bule wanaona kitumbua kinaenda kuingia mchanga.Anashangaza sana afu issue ya bandari mi naona Watalawala wenyewe wamekuwa wakiingilia sana kisiasa kupelekea mpaka compliance Kuwa hafifu kama kipindi kile cha mwenda zake kuna mstaafu alitaka kupitisha Vitu vyake Bure kwa vile tu aliwahi ku hold higher position uko serikalini, Autonomy kwenye mashirika yetu italeta sana ufanisi ila kuyatumia kwa ajili ya Political gain haitatufikisha popote, Leo ngoja DP world aje uone hata mambo fulani ya ovyo yataondoka bandarini nidhamu itakuwepo ila akiwekwa mzawa kila mtu atataka kuvuna mtaji wa kisiasa apo
Sio lazima umuaminiMkuu sina data sana za Tanroad ila pia nachelea Kumuanini Mbarawa katika hili
Acha uongo wewe,Kwa hiyo Watzn wote hawawezi kutoa 10%? Harafu TanRoads wafanye hivyo Nchi nzima kwani hawaogopi?Wapo madogo wengi tu wana uwezo.Hawajataka..hizo si 10%+ 10%+10%
Asione watu wajinga..ndio U professa wa makaratasi huo.
Nje ya karatasi hawawezi kufikiri.
Niaminishe kuwa hatuna akili ya kutoa resident Engineers.Nitaacha Uongo.Acha uongo wewe,Kwa hiyo Watzn wote hawawezi kutoa 10%? Harafu TanRoads wafanye hivyo Nchi nzima kwani hawaogopi?
Tatizo la wazalendo ni 10% matokeo yake ubora duni wa barabara...Hili jambo hata mimi nashangaa sanaaaa tatizo tuwe na masomo ya ujenzi nchi.
Tenda apewe mzawa kwanza huu ndio uzalendo halisi.
Halafu wizi hatari anae toa tenda mwizi mpokea tenda mwizi🤣🤣Tatizo la wazalendo ni 10% matokeo yake ubora duni wa barabara...