Profesa Lipumba si mtu mwema kwa Taifa letu

kweli wewe ni nabii!,umelijuaje hili?
-->>possibly amengamulika kitambo,kwa nini msomi gwiji namna hii akose msimamo?/
 
Mary Nagu alikwenda akaongea kanisani na siku lipumba anaongea msikitini shekh basaleh alianzia maneno ya mary Nagu sikiliza hotuba nzima sio kipande.
Lowasa nae alienda kanisani kutaka waongoze walutheri.
Lukuvi nae alienda kanisani.
 
1467552655237.jpg
 
Unaelewa aliposema ilibidi aokowe jahazi ili muislamu mwenzake JK ashinde uchaguzi? Je hata uchaguzi wa 2015 si ametumika tena ili kuisaidia ccm ishinde?

Cuf kama kuna watu wenye hata akili kidogo tu Lipumba ni mtu wa kupigwa marufuku hata kukanyaga makao makuu ya CUF, na afutwe uanachama kabisa.

Kwa sababu mtu huyu hata waislamu mnaodhani huyu mngemtumia kwa ajenda zenu za kiimani, Lipumba si mtu, mnafki, haamini na amechangia tena kuurudisha mfumo kristo madarakani, je huyu Lipumba ana faida gani hata kwa ndugu zake katika imaani?
 
Hii clip ya long sana! Huyu ni mchumia tumbo na mchonganishi hatimaye amefeli kote kote.Hizi chugu za Udini hazikumpa chapuo lolote mwisho wa siku hayupo Ccm wala Cuf...njaa mbaya sana
Jamaa sasa kavaa vilipuzi kutoka kwa maswahiba wake ili kwenda kulipua CUF(UKAWA) fortunately CUF washaastuka kwani wakati wa vita alikimbilia CCM indirectly na kuwaacha CUF/Ukawa yaani hakuta chama chake(CUF) kushika dola!!!!! nani huyo profesa!!!!
 
Hii video clip kwa sasa ndio iko valid kuliko wakati wowote ule, nina hakika wengi bado hawamfahamu vyema mzee wa nafsi kunisuta, ni vizuri watu tulio na nia njema na Taifa hili tuwaoneshe dhahiri aina ya wasomi tulionao.
 
Usaliti si kitu chema kabisa! Saivi atakua kachanganyikiwa sana baada ya CUF kumpa za mbavuni,Prof anazidi kupoteza uelekeo
 
Hii video clip kwa sasa ndio iko valid kuliko wakati wowote ule, nina hakika wengi bado hawamfahamu vyema mzee wa nafsi kunisuta, ni vizuri watu tulio na nia njema na Taifa hili tuwaoneshe dhahiri aina ya wasomi tulionao.
Ni kweli mkuu,nadhani sasa watu wanamuelewa vizuri!
 
Labda alitegemea uwaziri wa uchumi/mipango wakati wa awamu ya tano ya Rais Mcha Mungu, muadilifu, mpenda haki na usawa Dr Magufuli!!!!! ndiyo maana hakutaka chama chake CUF kishike madaraka/usukanu wa dola.
 
I see umetisha, yani Cyber crime wewe haitokugusa kamwe, tena ongezea kwenye title ya mkuru neno mtukufu.
 
Labda alitegemea uwaziri wa uchumi/mipango wakati wa awamu ya tano ya Rais Mcha Mungu, muadilifu, mpenda haki na usawa Dr Magufuli!!!!! ndiyo maana hakutaka chama chake CUF kishike madaraka/usukanu wa dola.
Nadhani atapata wakati mgumu sana kwa sasa hivi!atafute chuo akafundishe aachane na siasa manake mahesabu yamemshinda
 
huyu bwana ana uchu na madaraka nakumbuka mstari fulani ivi wa ney wa mitego kamcha kasema mtu gani kila uchaguzi ugombee wewe.
kumbukeni hata ukawa alitaka apitishwe yeye agombee eti kisa ni bora kuliko wenginw nyooo amkubalie nani.
huyu ana uchu na madaraka akipewa atakua janga kwa taifa inshort akapange uchumi tuu na kufundisha vyuoni huko marekanil lakini sio kuwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania
 
Back
Top Bottom