Manyerere Jackton
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 2,438
- 4,465
Vipi uhalali wa upAtikanaji wa Fedha hizi?!!
Je, hizo pesa ni zake au za wahisani?
Nimekubali, kwahiyo tuhamasishe wezi waongeze juhudi za kuiba ili wawekeze ndani??!!Hapa tusiangalie uhalali, tunaangalia investiment ambayo ina tija kwa jamii tena vijijini,hata wale wezi wasingepeleka uswiz badala yake wangewekeza nchini ningewapa pongezi.
Hapo professor anastahili pongezi siyo hii mi-professor mingine she.nzy type inakimbilia siasa tu na huko inatuchosha tu wala hatuoni cha maana wanachokifanya. Muhongo, Maghembe, Kapuya the list goes on and on and on....................Pasco, ziara yangu inahusu migogoro ya ardhi. Ilitokea tu nilipofika hapo nikaona hilo jengo. Nikajibiwa kuwa ni kazi ya huyo msomi. Hakika nikawa sina jingine, isipokuwa kumpongeza na kuwapa hamasa watanzania wasomi wengine kufanya mambo makubwa kama haya
Kwa hiyo hiku kitu nilikutana nacho tu kwa "bahati mbaya'.
Je, hizo pesa ni zake au za wahisani?
Je, hizo pesa ni zake au za wahisani?
Hapo professor anastahili pongezi siyo hii mi-professor mingine she.nzy type inakimbilia siasa tu na huko inatuchosha tu wala hatuoni cha maana wanachokifanya. Muhongo, Maghembe, Kapuya the list goes on and on and on....................
Hata zikiwa za wahisani, bado haimuondolei uzalendo huyu Profesa.
Nimedhuru vijiji kadhaa kama Mgagao, Ngulu, Lembeni na Kwakoa.
Ni kuzuru na sio kudhuru...
Wiki hii nimefika Mwanga mkoani Kilimanjaro.
Nimedhuru vijiji kadhaa kama Mgagao, Ngulu, Lembeni na Kwakoa.
Hapo kwakoa nimekuta kitu cha hamasa sana.
Kuna jengo kubwa mno la kisasa linajengwa na Profesa Ngoma.
Ni hospitali, chuo na kwa shughuli nyingine. Kwakoa ndipo alipozaliwa Profesa huyu, hakika mradi huu ni wa mfano kwa wasomi kukumbuka kuwekeza kwao.
Profesa ngoma si wa kujikweza, lakini nadhani anastahili pongezi nyingi akingali hai.
Wasomi wakifanya mambo makubwa ya aina hii bila shaka vijana wengi watapenda kuishi vijijini.
Naomba wanahabari wazuru kwakoa wajionee fahari hii ya mtanzania huyu.