Profesa Baregu ajitenga na Lowassa

Yupo kwenye team ushindi na alishasema sio lazima aonekane hadharani,kwa kuongezea ushawahi muona Prof.safari???
 
unaposoma tu vichwa vyote vya habari vya gazeti hilo utajua mwelekeo wake.ni za upande mmoja zaidi.
 
Kumbe ni kipeperushi cha "Tazama Push-up"!!!!??????? Mtasubiri sana!!!!!!!!
 
hilo gazeti halifai hata kufungia vitumbua
 
gazeti la udaku
Bias ya hili gazet iko wazi kwa mtu yeyote objective. Linakosa creadibility kwa habari inayohusu siasa.
Waandishi wa habari wajifunze kuwa "objectively impartial". Uandishi wa aina huu unatunyima habari zakweli.
Na ni tatizo kubwa sana hapa kwetu!
 
Mtu na akili zako ukinunua gazeti kama hili ntakuonà ni punguani.
 
Hao nadhani wanafanya kazi nzuri ya kumshauri mgombea wao awe timamu. Amwage sera si matusi majukwaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…