Juzi; Barrick/Acacia wezi, wanatuibia pesa zetu, nih kampuni hewa.., tumerogwa na nani!?
Leo; hawa Barrick/Acacia wanaume kweli-kweli, tumeongea nao, tutafanya nao biashara.
————————————————————————————
Sisi.., hatuna tofauti na wale wadudu wenye vichwa viwili, nyuma na mbele.., wanaitwa 'Earthworms', a tube-shaped, segmented worm found in the phylum Annelida...[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]