Prof. Ndalichako rudisha Syntax A-Level

Siku hizi wameunganisha syntax, phonology na morphology topic inaitwa speaking kila sehemu wamechukua vitu kidogo kidogo

Sent from my TECNO S9 using JamiiForums mobile app
 
Siku hizi wameunganisha syntax, phonology na morphology topic inaitwa speaking kila sehemu wamechukua vitu kidogo kidogo

Sent from my TECNO S9 using JamiiForums mobile app
Ni uhuni huo mkuu, Syntax yenyewe kama topic ilikuwa ni kubwa sana. Sasa inavyotokea eti inachanganywa na phonology na morphology hiki kinakuwa ni kitu cha ajabu cha kuwapoteza vijana wetu. Unaweza ukazifuta zingine zote lakini Syntax ni topic kwa utimilifu wake, ukiamua kudeal na SVOCA huna namna ya kuacha kugusa sheria za kiundaji na muingiliano wa herufi na maneno.

Na ikitokea ukaishia katikati ama kuimega unakuwa umepoteza lengo na umeharibu maana nzima ya topic ya Syntax katika elimu ya sekondari ya upili. Na hii, ndio maana utaona ni afadhari aliyesoma drs la 8 huko nyuma kuliko huyu mwenye drs 14 za leo katika uwezo wa matumizi ya lugha. Tunazidi kupotea kwa kasi sana katika misingi ya elimu yetu, hii erosion ni kubwa sana
 
Ila kwenye kuzungumza sidhani kama ina msaada sana labda kwenye uandishi

Sent from my TECNO S9 using JamiiForums mobile app
Lugha inafundishwa kukidhi mambo makubwa mawili katika mawasiliano, kuongea na kuandika. Na baadae inaongezeka kuisoma na kuisikiliza. Na katika kuishi sana, watanzania hatuiongei sana lugha ya kiingereza kama tunavyoiandika. Kama ndivyo, basi kuna haja ya wewe pia kufikia hilo lengo kwani utalazimika sana kuandika kuliko vile utakavyohitajika kuiongea. Na ni maeneo machache sana utatakiwa kuongea juu ya dakika5 lakini katika kuandika utatakiwa kuandika kurasa nyingi sana, mara nyingi na kuhusu mambo mengi sana.

Labda kama una mtizamo tofauti na huu wa kwangu, karibu utuelimishe!
 
Ni kweli kabisa tanzania tunatumia hii lugha kwa kuandika zaidi, lakini nadhan lengo la hiyo sylabus ni kusisitiza zaidi kuzungumza (linguistic performance)

Sent from my TECNO S9 using JamiiForums mobile app
 
hii ilinikuta nilipojiunga chuo kikuu nakukutana na syntax ambayo sikuwa na msingi hata kidogo...da sup ilihusika sio siri...hawa wtu wa mitaala niwatu wa ajabu sana ..badala ya kuweka mwendelezo ya mada wao wanaondoa chini ili mfaulu then huko juu mtajiju

Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo kitu ilinisumbua sana advance

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Usiseme kabisa, na ndio maana ukiingia chuo kwa wale wa linguistics inaonekana kuwa mzigo mzito sana kwasababu kule unakwenda kukutana na vitu ambavyo havikuwahi kujengewa msingi imara huku nyuma ili kukusaidia kusonga mbele. Na ili ufanye vizuri katika linguistics, 65% itatokana na uwezo wako ulionao katika Syntax.
 
Hiyo kitu ilinisumbua sana advance

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Hopefully kuna namna inakusaidia na kukufanya walau ujisikie wa kipekee mbele za wengine japo si sana
 
Ndalichako mwenyewe anajua maana ya syntax?

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…