JERUSALEM 2006 JF-Expert Member Joined Apr 23, 2012 Posts 527 Reaction score 596 Jun 12, 2012 #1 Profesa Mwesiga Baregu(CDM) ni mwenyeji wa Muleba. Mimi kama mfuatiliaji mzuri wa siasa za muleba, ninamshauri agombee jimbo la Muleba Kusini la Prof Tibaijuka(CCM) mwaka 2015, kwani wana muleb wamemchoka huyu mama.
Profesa Mwesiga Baregu(CDM) ni mwenyeji wa Muleba. Mimi kama mfuatiliaji mzuri wa siasa za muleba, ninamshauri agombee jimbo la Muleba Kusini la Prof Tibaijuka(CCM) mwaka 2015, kwani wana muleb wamemchoka huyu mama.