TANZIA Prof. Mwesiga Baregu afariki dunia

Kweli ni habari mbaya! Duh! Ni kweli lakini? Oh my Lord, the gold is gone! What a big loss to the Politics of URT!

RIP Prof Baregu!
Alikuwa na akili sana na faida kwa nchi. RIP COMRADE
 
Kwenye misiba yote CCM wana busara sana hawana maneno ya shombo kwa mwendazake

R.I.P Mwendazake
 
Pumzika kwa amani Prof Baregu, mwana mwema wa tumbo la mama Tanganyika
 
R.I.P Mtani wangu Profesa Baregu, Pole kwa Familia ya Marehemu, Pole kwa Taasisi zote za Elimu ya Juu alizofundisha ikiwemo Chuo Kikuu cha SAUT ( Dar es Salaam Campus ), Pole pia Wanafunzi wote tuliowahi Kufundishwa nae na Pole nyingi kwa Chama chake cha CHADEMA

Wazee Werevu wanapukutika tu nchini.
 
Impact yake katika siasa angalia humu wanavyomlilia kila thread. Hakuna atakayekamtwa kwa kushangilia kifo chake.

Ni msomi pekee aliekuwa pale chadema!
.
Corona hii ina mambo sana
Hilo la "msomi pekee" unalisema wewe na usinihusishe. Kuna watu wana Elimu za kuokoteza wamejaa CCM mbona huwasemi? Nimekuja kwenye huu Uzi kumuomboleza Mtanzania anayejua maana ya haki, sijaja kwa ajili ya bla bla za siasa zenu za majikidimbwi.
 
Sawa mkuu!

Mimi nilifikiri chadema hawafi
 
Mzee huu nilikuwa namkubali sana kwa siasa zake za Kisomi. RIP mzee wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…