Mungu Baba wa Mbinguni akuweke miongoni mwa wateule wake wa Sayuni. Naye akufanye katika wale watakao furahi mbele ya uso wako wakikusifu na kukutumikia Milele na Milele Amina
Rest in peace Prof. Sijawezapata record yako ya Mlimani zaidi ya kuwa Mwanasiasa niliyekupenda sana kwa usomi wako ukasimama na wachache wanaodai haki. Hukupenda madaraka huko upinzani bali ulitumia elimu yako kwa Faida ya wanamageuzi wote