Huwa siwaongelei marehemu kwa ubaya, sio kwasababu tuu ya imani yangu kwa mtu ila sababu sijui hata pale ambapo Mungu aliwachukua walikuwa kwenye hali gani kiroho
Pumzika kwa amani mzee mwenzangu, Nitaukumbuka mchango wako katika kusimamia na kukuza demokrasia ndani ya nchi yetu. Hakika chama chetu kimepoteza mtaalamu mashuhuri wa sayansi ya siasa.