Mkopi salo Senior Member Joined Jun 24, 2015 Posts 102 Reaction score 78 May 31, 2017 #21 Aende huko prof:gani nchi yaibiwa kapiga kimya itakuwa na yeye anatabia ya mkono mkono ndio mana jeuri, akome sasa
Aende huko prof:gani nchi yaibiwa kapiga kimya itakuwa na yeye anatabia ya mkono mkono ndio mana jeuri, akome sasa
ISIS JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 96,072 Reaction score 858,583 May 31, 2017 #22 Bowie said: Mkuu huyu Prof Muhongo ni mwenyekiti wa wabunge wa Mkoa wa Mara. Wafadhili wa nje walimpa vitabu vya sekondari vya sayansi alichokifanya aligawa vitabu hiyo kwenye majimbo yote bila kujali chama, ujue mkoa wa Mara majimbo 5 yako chini ya Chadema Click to expand... Kazi kweli kweli
Bowie said: Mkuu huyu Prof Muhongo ni mwenyekiti wa wabunge wa Mkoa wa Mara. Wafadhili wa nje walimpa vitabu vya sekondari vya sayansi alichokifanya aligawa vitabu hiyo kwenye majimbo yote bila kujali chama, ujue mkoa wa Mara majimbo 5 yako chini ya Chadema Click to expand... Kazi kweli kweli
ISIS JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 96,072 Reaction score 858,583 May 31, 2017 #23 Mkopi salo said: Aende huko prof:gani nchi yaibiwa kapiga kimya itakuwa na yeye anatabia ya mkono mkono ndio mana jeuri, akome sasa Click to expand... Well said kwa kweli!
Mkopi salo said: Aende huko prof:gani nchi yaibiwa kapiga kimya itakuwa na yeye anatabia ya mkono mkono ndio mana jeuri, akome sasa Click to expand... Well said kwa kweli!