Prof. Muhongo: Ni ujinga kujadili IPTL

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
58,001
Reaction score
134,194
Wakuu,

Prof. Muhongo ameanza kupaniki!Gazeti la Mtanzania leo limeripoti kuwa Muhongo amesema ni ujinga na upuuzi kujadili suala la IPTL.

Siyo ujinga tu bali ni zaidi ya ujinga.
 
nchi inaibiwa ninyi mnaleta ushabiki wa kisiasa mpoleni sana, watu wanateseka mahospitalini wanafunzi wanakosa mikopo ninyi mnashabikia ufisadi poleni watz.
 
Siyo ujinga tu bali ni zaidi ya ujinga.
 
Wakuu fisadi prof.Muhongo ameanza kupaniki!Gazeti la Mtanzania leo limeripoti kuwa Muhongo amesema ni ujinga na upuuzi kujadili suala la IPTL.Mwenye gazeti atupandikie hapa
Jambo hili limeamuliwa na mahakama kuu kwahiyo anayekataa akate rufaa lakini kujadili kwenye magazeti na bungeni ni upuuzi.
 
duuh kweli naona nywele zao zinavodhihirisha ujinga walionao
 
nchi inaibiwa ninyi mnaleta ushabiki wa kisiasa mpoleni sana, watu wanateseka mahospitalini wanafunzi wanakosa mikopo ninyi mnashabikia ufisadi poleni watz.

Kwani zile pesa ni za nani?serikali yetu au wanahisa wa IPT?
 
Ngoja muhongo atinge bungeni na kushusha data,wenyewe watazima fag.
ukweli na uhakika.
 
Jambo hili limeamuliwa na mahakama kuu kwahiyo anayekataa akate rufaa lakini kujadili kwenye magazeti na bungeni ni upuuzi.

Mda si mrefu utapata aibu kubwa
 
NIlisema ninasema na nitaendelea kusema ...Muhongo ni tatizo sana katika nchi hii... nini cha maana kafanya. majivuno tu yemejaa...oho... tanzania tuna bahati mbaya sana... jamaa ni bonge la ....

Hakika...huyu jamaa cjui kwa kuwa ni professor ndo mana anadharau wabunge wengine,pia anadhan kuteuliwa na prezident kutoka huko mtaani akapelekwa mjengoni anadhani kuwa "he is perfect" na kila asemalo likonsawa.
 
Jambo hili limeamuliwa na mahakama kuu kwahiyo anayekataa akate rufaa lakini kujadili kwenye magazeti na bungeni ni upuuzi.

Nadhani mahakama haikuamua hizo pesa wazigawane,nadhan iliamua ifanyike re-calculations kuweza kuona ni kiasibgani tanesco wamedhurumiwa ili warejeshewe pesa zao lakni wanao jifanya wajanja wamekula. Muhongo ataponea wapi? Pinda atakimbilia wapi??
 
Muhongo yuko smart sana tofauti na unavyodhani ngoja uone kama kunakitu kitapatikana cha maana zaidi ya porojo za wanasiasa za kutaka kuuza sura na kusikika.
 
kwenye kipindi cha Malumbano ya Hoja jamaa alisema, 'wachina kama hawana faida na kitu chochote watakupa tu!, mfano; uprofessor wanaweza kukupa tu, hawana shida na hilo, lakini swala la pembe za ndovu watachukua tu mtake msitake'
 
Nadhani mahakama haikuamua hizo pesa wazigawane,nadhan iliamua ifanyike re-calculations kuweza kuona ni kiasibgani tanesco wamedhurumiwa ili warejeshewe pesa zao lakni wanao jifanya wajanja wamekula. Muhongo ataponea wapi? Pinda atakimbilia wapi??
Recalculation ilifanyika siku mingi,tatizo hawakukuletea kadi ya mwaliko ukashuhudie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…