Prof. Mark Mwandosya ni mpotoshaji

Mpuuzi tu wewe Proff anajitambua sana na hana unafiki wenu, sema unatafuta cheo manake wenye akili matope ndio mnapewa vyeo kipindi hiki mradi unajua tu kusifia baaaaasi.
Profesa mwandosya ni chadema mwenye kadi ya CCM na ndie alichangia Sana kushindwa CCM mbeya baada ya kuungana team lowasa kwa hasira za yeye kutopewa ugombea uraisi
 
Please hebu tukumbushe tusi ambalo Sungu alimtukana rais maana wengine hatukumbuki, huenda hata Prof. Mwandosya halikumbuki tusi hilo au hakulisikia ndio maana akasema Sugu kafungwa kisiasa
 
Je babu seya alionewa kweli kwa kifungo kile ama alihukumiwa kwa mujibu wa sheria? Je ingekuwa magufuli ndiye aliye tweet hivyo mngethubutu kumwaga povu?
 
Ni jambo la ajabu kwamba wapuuzi kama hawa wanapatikana Tanzania tu!!
 
Wilaya ya HAI kuna nafasi ya mkuu wa wilaya ipo wazi..kazana huenda ukabahatika kupewa mkuu
 
Wewe umefanya nini cha kukumbukwa
 
Lile halikuwa tusi mkuu.. ama wewe unaweza liweka hapa hilo unalodai ni tusi
 
Team mbili zilizodhoofisha CCM mbeya ni team mwandosya na team Lowasa ambazo ziliungana kusamharatisha CCM mbeya
 
Ndio umeandika nini sasa "" halafu waweza kukuta na wewe nimzazi ambaye watoto wako wanakutegemea"" kwa akili hizi''' niwazi watoto wamekosa mzazi
 
Ccm imewauma sana mwa Costa kwenda kumjulia Hali sugu,hii inaonyesha mnavyo chukulia siasa Kama uadui .
Siasa sio uadui siasa ni Imani ,Huyu Ana amini hivi yule naamini hivi .sasa mwenzi ok aendi kumjulia Hali mwenzako na kumpa pole ishakuwa nongwa na kuanzia kutishiana kumnyanganya prof cheo.
This time of politics ni out dated and barbaric,wabunge wa ccm walipo enda kumpa pole mbunge mwenzao Lema gerezani inasemekana mwenyekiti aliwakemea sana ,pia inasemekana walikaripiwa vibaya sana na mwenye chair .
Leo ikewauma tena prof kumpa pole sugu,huo sio ubinadamu ,mpinzani nae ni binadamu Kama wengine ,anapo patwa na jambo anaitaji faraja ,huo ndio ungwana mwana ccm mwenzangu .
 
ndugu, usilinganishe profesa na takataka.

Mwandosya yupo sahihi 100%.
Kama yeye siyo takataka kwa nini hakuukwaa urais? Na kama anajiamini mbona analia lia mitandaoni kuwa amesahaulika?
Huwa najiuliza sana, kama Mwandosya alishindwa kuonekana ubora wake wakati wa Kikwete, sasa atagombea urais ili afanye nini kipya? Ama tu kutimiza takwa lenu la ni zamu ya Wakonda?
 

Kuna uhusiano gan yy kwenda kwa Sugu na serikali kulipia gharama za matibabu?

Mbona Mama Samia na mzee mwinyi walienda
Kenya kumtembelea Lisu kwa usafiri wa serikali
Na ujasema kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…