Prof.Maghembe Mlango Uko Wazi Tunaomba Utoke Tu Imetoshaaaa

Prof.Maghembe Mlango Uko Wazi Tunaomba Utoke Tu Imetoshaaaa

Kindus

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2014
Posts
4,249
Reaction score
3,369
Jimbo La Mwanga Sasa Ni Kama Makaburini Wazawa Karibu 80% Wako Nje Wanakuja Kuzika Na Kuondoka Wilaya Haina Fursa Yeyete Ya Kiuchumi Vijana Hawana Chochote Wanajipooza Na Miraa Na Viroba

Miaka 15 Ya Uwakilish Wako Hujafanya Lolote Ahad Yako Ya Kurudisha Zao La Kahawa Imekua Urongo Mtupu Kama Ulivyoshehenesha Urongo Katika Bajet Yako Ya Maji.
Sasa Unatujia Na Sera Ya Mikopo Ya Bodaboda Wakati Unajua Hizi Zilizopo Hazina Abiri Had Utokee Msiba Au Sikukuu Watu Waje Kutoka Miji Mbalimbali
Halafu Unataka Tufanye Malipo Ya Awali Lak Saba Tutatoa Wapi Tena Tuweke Mdhamana Wa Nyumba Wakati Hatuna Hata Kiamba Zinduka Kijana Wa Mwanga Leprofesar Amechooka Hana Mbinu Mpya.
 
mmh hata mi cmtak maghembe ila ukawa nao hawana MTU sahihi kwa jimbola Mwanga yule henry kilewo bado sana kwa Mwanga
 
Kiroba na bodaboda wapi na wapi? Kataeni, mwambieni tunamsubiri Lowasa.
 
Prof Maghembe naye anachukua form kesho
 
Ikulu hauogipeki Tena, ikulu hata wezi wanatia Nina waende, baadhi mawaziri walioproove failure ktk wanataka kuongoza nchi.

Ikulu imeshushwa thamani sio kama zamani
 
Huyu waziri ni vuvuzela sana, namkumbuka alivyotunga uongo eti UDSM kuna wavuta bangi na wanasiasa ..ni mpuuzi sana huyo dingi
 
tatizo hao wamama wa usangi hawajaelewa pamoja na wazee kwani wanadanganywa nakanga kofia navitenge wakishindwa kuelewa kwamba hao ma ccm niwachumiatumbo lakini cjuii kwa nini? watu wausangi hambadiliki haswa wa mama wa hapodarajani
 
ha haa wanakuja kuzika na kusepa
mamamaeee..!
 
Uprofesa mwingine hauna maana kama huwezi kuutumia kuisaidia jamii inayokuzunguka...
 
Back
Top Bottom