CUF Habari
JF-Expert Member
- Dec 12, 2019
- 239
- 234
Uchaguzi umekaribiaMwenyekiti wa CUF Taifa Prof.Lipumba Kesho Atazungumza na Wanahabari Katika Ofisi Kuu za Chama Buguruni.
Mkutano Huo na Wanahabari Utafanyika Kesho Kuanzia Saa 5:00 Asubuhi
Anatangaza rasmi kurudi chama tawala.Mwenyekiti wa CUF Taifa Prof.Lipumba Kesho Atazungumza na Wanahabari Katika Ofisi Kuu za Chama Buguruni.
Mkutano Huo na Wanahabari Utafanyika Kesho Kuanzia Saa 5:00 Asubuhi
Anataka kutangaza ndoa na Sakaya?Mwenyekiti wa CUF Taifa Prof.Lipumba Kesho Atazungumza na Wanahabari Katika Ofisi Kuu za Chama Buguruni.
Mkutano Huo na Wanahabari Utafanyika Kesho Kuanzia Saa 5:00 Asubuhi
Ataunga mkono sheria ya kumzuia seif kugombea 0october,Mwenyekiti wa CUF Taifa Prof. Lipumba kesho Atazungumza na Wanahabari Katika Ofisi Kuu za Chama Buguruni.
Mkutano Huo na Wanahabari Utafanyika Kesho Kuanzia Saa 5:00 Asubuhi.
Yeye mwenyewe mweramamwera lazima watinge hapo
Bila shaka atatangaza kustaafu siasa baada ya kuitumikia ccm bila mafanikio .Mwenyekiti wa CUF Taifa Prof. Lipumba kesho Atazungumza na Wanahabari Katika Ofisi Kuu za Chama Buguruni.
Mkutano Huo na Wanahabari Utafanyika Kesho Kuanzia Saa 5:00 Asubuhi.
Lipumba azuiliwe na polisi wa Tanzania !mamwera lazima watinge hapo