Prof. Lipumba Kuzungumza na Wanahabari kesho

Mwenyekiti wa CUF Taifa Prof.Lipumba Kesho Atazungumza na Wanahabari Katika Ofisi Kuu za Chama Buguruni.

Mkutano Huo na Wanahabari Utafanyika Kesho Kuanzia Saa 5:00 Asubuhi
Uchaguzi umekaribia
Ana anza kuongea ili kile chama kimkatie tena mshiko awaongezee kura.. Hakuna hata siku moja Lipumba amekuwa mpinzani. Yeye na chama chake tayari wana muunga mkono kama kile chama cha upinzani cha mwenyekiti wa parole anavyo muunga mkono Meko..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenyekiti wa CUF Taifa Prof. Lipumba kesho Atazungumza na Wanahabari Katika Ofisi Kuu za Chama Buguruni.

Mkutano Huo na Wanahabari Utafanyika Kesho Kuanzia Saa 5:00 Asubuhi.
Bila shaka atatangaza kustaafu siasa baada ya kuitumikia ccm bila mafanikio .
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom