Prof Lipumba astaafu Kugombea Urais

Prof Lipumba hatagombea Urais wa JMT October mwaka huu

Sijui ameogopa nini?

Mlale unono πŸ˜„πŸ™

Wee una uhakika?
Kuna miaka alisema amestaafu kuwa mwenyekiti. Lakini cha kushangaza akaanza kunyukana na wengine eti anataka kurudi kitini
 
Nakumbuka enzi za Cuf ngangaaaariiiii umati ngaaangaaaariiii

Bwana bwana weee alipotokea bwana yule akasema hapa sisi Ngunguriiii watu walikula virungu mpaka vya kwenye koo
 
sawa maana alikuwa mgombea na mwenyekiti wa kudumu wacha abaki na uenyekiti tu
 
Hakiiiii.......
Haki kwa naniiiiiiii.....

Daah,Ila siasa😎
 
Bora yeye kaona mbali kuliko Mbowe tapeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…