Prof. Kitila: Tutafikia uchumi wa dola trilioni 1 mwaka 2050

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema watalaamu wamefanya uchambuzi wa kutosha na kujiridhisha kuwa Tanzania inaweza kufikia uchumi wa Dola za Kimarekani trilioni 1 mwaka 2050.

Your browser is not able to display this video.
 
ktk leo hii mpaka 2050 ni miaka 24 tu imebakia, uchumi wa tanzagiza leo hii ni <90 billion usd, uchumi unakuwa kwa wastani wa 5% not even a double digit, kwa hiyo kwa miaka 24 ijayo uchumi wa tanzagiza utrakuwa ni zaidi ya mara 10 ya wa leo wakati tanzagiza haijawahi hata kufikia double digit (>10%) economic growth? kwanza hata 8% tu hatujawahi gonga.

huyo jamaa is crazy ...
 
Anajua yeye hatakuwepo so hamuwezi kumuuliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…