Jana jion nilipita mitaa iliyo karibu na mliman city nikabahatika kumkuta Associate Prof Kitila mkumbo akinunua gazeti na huku akichambua mada mbalimbali kuhusu uchaguz mkuu.Prof mkumbo ambaye alisema anamuunga mkono Lowassa ili kuhakikisha kuwa CCM inaondoka Madarakan.Kuna mtaalam mmoja ambaye sikumfahamu jina ingawa alisema ni mtu wa finance alimuuliza prof mkumbo inakuaje matajir wa Tanzania wanatoa pesa nying kwa lowassa je hatazirudisha vp?Mkumbo alijibu swali hilo kama vile sio prof.Alisema wamejitolea tu.Mtaalam huyo alisema yy anavyojua matajiri hao hata kodi wanakwepa ,iweje watoe pesa nyingi kwa mgombea urais?Watu waliokuwepo hapo waliguna pale mkumbo aliporidia kusema kuwa wamejitolea tu na nikama social responsibility.Je,inakuwaje Prof anashindwa analysis vitu kama hivyo?Tutafika?