angakuwa sio mwizi ile ripot ya pccb ilitosha kuwapeleka watu mahakamani kwa amri yake na kulinda heshima ya taifa kashindwa hata kutoa kauli leo useme sio mwiz aliingia ikulu kwa sarakasi na nchi inaendeshwa kwa sarakasi over.Kuna watu wamefika mahali wakasema Rais ni mwizi jamani tumuogope Mungu huyu mzee wa watu angekuwa mwizi hata hizo kamati zisingeundwa tatizo ni walio mzunguka kwakweli wanaliangamiza taifa tuna rais msafi na asie ficha taka taka ktk serikali yake na nyote mtakuwa mashaidi pale atakapo neda sign baruwa za watakao jiuzulu tatizo lililopo sasa watu wana deal nyingine ukiacha hii inayo taka waondoa ktk uongozi wao ndio maana hawataki kuachia ngazi yani kiti ni kitamu inawauma
Upo uwezekano mkubwa watu kufutwa kazi huo ndi ukweli Kaka yao pinda atapigiwa kura then ndio mwisho wa safari
RAISI WETU NI MSAFI TENA KWA 100% ANAYE BISHA ATAKUBALI HAPO BAADAE
UJUMBE WA CHAMA HABEBWI MTU WAJIPIME NA WAACHIE NGAZI
Kwa nini anajificha uko kwenye tezi jikeKuna watu wamefika mahali wakasema Rais ni mwizi jamani tumuogope Mungu huyu mzee wa watu angekuwa mwizi hata hizo kamati zisingeundwa tatizo ni walio mzunguka kwakweli wanaliangamiza taifa tuna rais msafi na asie ficha taka taka ktk serikali yake na nyote mtakuwa mashaidi pale atakapo neda sign baruwa za watakao jiuzulu tatizo lililopo sasa watu wana deal nyingine ukiacha hii inayo taka waondoa ktk uongozi wao ndio maana hawataki kuachia ngazi yani kiti ni kitamu inawauma
Upo uwezekano mkubwa watu kufutwa kazi huo ndi ukweli Kaka yao pinda atapigiwa kura then ndio mwisho wa safari
RAISI WETU NI MSAFI TENA KWA 100% ANAYE BISHA ATAKUBALI HAPO BAADAE
UJUMBE WA CHAMA HABEBWI MTU WAJIPIME NA WAACHIE NGAZI
Kuna watu wamefika mahali wakasema Rais ni mwizi jamani tumuogope Mungu huyu mzee wa watu angekuwa mwizi hata hizo kamati zisingeundwa tatizo ni walio mzunguka kwakweli wanaliangamiza taifa tuna rais msafi na asie ficha taka taka ktk serikali yake na nyote mtakuwa mashaidi pale atakapo neda sign baruwa za watakao jiuzulu tatizo lililopo sasa watu wana deal nyingine ukiacha hii inayo taka waondoa ktk uongozi wao ndio maana hawataki kuachia ngazi yani kiti ni kitamu inawauma
Upo uwezekano mkubwa watu kufutwa kazi huo ndi ukweli Kaka yao pinda atapigiwa kura then ndio mwisho wa safari
RAISI WETU NI MSAFI TENA KWA 100% ANAYE BISHA ATAKUBALI HAPO BAADAE
UJUMBE WA CHAMA HABEBWI MTU WAJIPIME NA WAACHIE NGAZI[/QUOTE
Naona wazee wa TEZI DUME mnahangaika sana,kwa kifupi hii serikali ya awamu ya 4,ndo imekuwa chafu,chafu,chafu kuliko serikali zote zilizowahi kusikika hapa tanzania tangu uhuru,so kaka acha u.c.h.o.k.o,hana usafi wowote,hayo mkaongelee kule kule kwenye ulingo wenu wa siasa wakati wa...........................
Kuna watu wamefika mahali wakasema Rais ni mwizi jamani tumuogope Mungu huyu mzee wa watu angekuwa mwizi hata hizo kamati zisingeundwa tatizo ni walio mzunguka kwakweli wanaliangamiza taifa tuna rais msafi na asie ficha taka taka ktk serikali yake na nyote mtakuwa mashaidi pale atakapo neda sign baruwa za watakao jiuzulu tatizo lililopo sasa watu wana deal nyingine ukiacha hii inayo taka waondoa ktk uongozi wao ndio maana hawataki kuachia ngazi yani kiti ni kitamu inawauma
Upo uwezekano mkubwa watu kufutwa kazi huo ndi ukweli Kaka yao pinda atapigiwa kura then ndio mwisho wa safari
RAISI WETU NI MSAFI TENA KWA 100% ANAYE BISHA ATAKUBALI HAPO BAADAE
UJUMBE WA CHAMA HABEBWI MTU WAJIPIME NA WAACHIE NGAZI
Shikamooo serikali, mi ni mwananchi tu nisiye na haki hapa Tz, fanyeni tu mnachotaka. Kila kitu ni chenu wakuu, madini, mafuta, tembo, na mapori yote. Hata mkitaka kutuuza kwa wachina au wamarekani ni sawa tu hatuna tatizo na nyie kabisa. Hata ESCROW ni halali yenu wakuu tumieni mnavotaka. Asante
hoja kuu rais mwizi au sio mwizimkuu tumainiel- wewe ni miongoni ma watanzania weeeeeeengi sana ambao fikra na mawazo yao yametekwa na haiba ya rais..nasema hivyo kwasababu wewe na mimi tunajua kuwa ufisadi wa tanzania si wa mtu mmoja mmoja,wala kikundi cha watu,bali ni mtandao unaoendeshwa na serikali(ndio maana matukio yote ya kifisadi uyeyuka na kuisha bila mtu kufungwa,bali geresha za hapa na pale)..tungekuwa na serikali inayowajibika kuna watu wangelikwisha nyongwa kwa uujumu uchumi).
mwizi, mfujaji.......