Wewe ni nani aliyekwambia kuwa yule kijana ni gaidi? Maana hata Polisi wamesema watafuatilia kuona kama anahusiana na ugaidi. Kingine Polisi na serikali wote walikataa kabisa kuwa ile issue ya Kibiti ilikua inahusiana na Ugaidi, leo inakuwaje habari ibadirike tena?Kitendo cha kupata cover unalia while wewe ni mbunge na mmoja wakamati za usalama wa eneo lako nijambo lakisanii kama sio kejeli kwa watu wako.
Kwanin usizuwie hisia zako nakuanza kulia lia kama usie juwa nini kinaendelea ktk Taifa.
Vijana wengi wamepita mafunzo ya ugaidi na no watu hatari baada yakulichafuwa chaka kule ikwiriri wakakimbilia mitaani nakujifanya wakulima wfugaji ila wakificha maovu yao.
Hivyo nayule kijana nimmoja wao unalia nini unalilia ukatili wake? Ameuwawa live ili kutuma salam kwa vijana wengine wasiige ujinga wake...
Prof take care on issue za usalama otherwise acha siasa nenda kafanye usani ndio sehem inakufa.
Itv pia walikosea kuweka live
we mbona umeleta uzi live humu..Kitendo cha kupata cover unalia while wewe ni mbunge na mmoja wakamati za usalama wa eneo lako nijambo lakisanii kama sio kejeli kwa watu wako.
Kwanin usizuwie hisia zako nakuanza kulia lia kama usie juwa nini kinaendelea ktk Taifa.
Vijana wengi wamepita mafunzo ya ugaidi na no watu hatari baada yakulichafuwa chaka kule ikwiriri wakakimbilia mitaani nakujifanya wakulima wfugaji ila wakificha maovu yao.
Hivyo nayule kijana nimmoja wao unalia nini unalilia ukatili wake? Ameuwawa live ili kutuma salam kwa vijana wengine wasiige ujinga wake...
Prof take care on issue za usalama otherwise acha siasa nenda kafanye usani ndio sehem inakufa.
Itv pia walikosea kuweka live
Mbunge hana hisia?Kitendo cha kupata cover unalia while wewe ni mbunge na mmoja wakamati za usalama wa eneo lako nijambo lakisanii kama sio kejeli kwa watu wako.
Kwanin usizuwie hisia zako nakuanza kulia lia kama usie juwa nini kinaendelea ktk Taifa.
Vijana wengi wamepita mafunzo ya ugaidi na no watu hatari baada yakulichafuwa chaka kule ikwiriri wakakimbilia mitaani nakujifanya wakulima wfugaji ila wakificha maovu yao.
Hivyo nayule kijana nimmoja wao unalia nini unalilia ukatili wake? Ameuwawa live ili kutuma salam kwa vijana wengine wasiige ujinga wake...
Prof take care on issue za usalama otherwise acha siasa nenda kafanye usani ndio sehem inakufa.
Itv pia walikosea kuweka live
Naona ile koment yako ya et prof jay ni msanii lakin ulipo ulizwa taja nyimbo zake ukatoka mafuta...Kitendo cha kupata cover unalia while wewe ni mbunge na mmoja wakamati za usalama wa eneo lako nijambo lakisanii kama sio kejeli kwa watu wako.
Kwanin usizuwie hisia zako nakuanza kulia lia kama usie juwa nini kinaendelea ktk Taifa.
Vijana wengi wamepita mafunzo ya ugaidi na no watu hatari baada yakulichafuwa chaka kule ikwiriri wakakimbilia mitaani nakujifanya wakulima wfugaji ila wakificha maovu yao.
Hivyo nayule kijana nimmoja wao unalia nini unalilia ukatili wake? Ameuwawa live ili kutuma salam kwa vijana wengine wasiige ujinga wake...
Prof take care on issue za usalama otherwise acha siasa nenda kafanye usani ndio sehem inakufa.
Itv pia walikosea kuweka live
Hakujawahi kuwa na ugaidi ikwiriri, polisi na wanajeshi wa Tanzania hawana uwezo wa kupambana wala kumjua gaidi .kilichokuwa kinaendelea ikwiriri ni vita dhidi ya zuluma na uonevu wa serikali. Kama hujui usiopende kuongea uongo. Prf j kulia.ilikuwa ni kuonesha hisia zake kama wewe ambavyo ungelia msibani .unataka tuamini kwamba hata mwakyembe alivyolia kwenye msiba wa mkewe ulikuwa usaniiKitendo cha kupata cover unalia while wewe ni mbunge na mmoja wakamati za usalama wa eneo lako nijambo lakisanii kama sio kejeli kwa watu wako.
Kwanin usizuwie hisia zako nakuanza kulia lia kama usie juwa nini kinaendelea ktk Taifa.
Vijana wengi wamepita mafunzo ya ugaidi na no watu hatari baada yakulichafuwa chaka kule ikwiriri wakakimbilia mitaani nakujifanya wakulima wfugaji ila wakificha maovu yao.
Hivyo nayule kijana nimmoja wao unalia nini unalilia ukatili wake? Ameuwawa live ili kutuma salam kwa vijana wengine wasiige ujinga wake...
Prof take care on issue za usalama otherwise acha siasa nenda kafanye usani ndio sehem inakufa.
Itv pia walikosea kuweka live
Mh sana TUMAINIEL,Kitendo cha kupata cover unalia while wewe ni mbunge na mmoja wakamati za usalama wa eneo lako nijambo lakisanii kama sio kejeli kwa watu wako.
Kwanin usizuwie hisia zako nakuanza kulia lia kama usie juwa nini kinaendelea ktk Taifa.
Vijana wengi wamepita mafunzo ya ugaidi na no watu hatari baada yakulichafuwa chaka kule ikwiriri wakakimbilia mitaani nakujifanya wakulima wfugaji ila wakificha maovu yao.
Hivyo nayule kijana nimmoja wao unalia nini unalilia ukatili wake? Ameuwawa live ili kutuma salam kwa vijana wengine wasiige ujinga wake...
Prof take care on issue za usalama otherwise acha siasa nenda kafanye usani ndio sehem inakufa.
Itv pia walikosea kuweka live
Hivi Usama Bin Laden alihukumiwa kifo na mahakama gani? Ukishajikurubisha na chata ya ugaidi ujuwe mahkama yako ni shaba au Bomu kabisa.Kwahiyo jeshi la polisi linafanya majukumu ya mahakama, na kwa akili zako kidogo unaona ni sawa? sikulaumu kwasababu hilo kipo tangu enze na enzi, watu wenye akili kidogo hufanya kazi za ulinzi na upolisi na kupewa ujira kidogo. Ni kama mbwa na master wake kwa malipo ya kipande cha mfupa.
Alikuwaje nyumaNaona ile koment yako ya et prof jay ni msanii lakin ulipo ulizwa taja nyimbo zake ukatoka mafuta...
Maudhui ya nyimbo za prof jay. Ni kitabu tosha. Na wema sepetu utasema nani.
Shida huko nyuma haukua hivyo.
Huyu nae unamuitajeKitendo cha kupata cover unalia while wewe ni mbunge na mmoja wakamati za usalama wa eneo lako nijambo lakisanii kama sio kejeli kwa watu wako.
Kwanini usizuwie hisia zako nakuanza kulia lia kama usie juwa nini kinaendelea katika Taifa.
Vijana wengi wamepita mafunzo ya ugaidi na no watu hatari baada ya kulichafuwa chaka kule ikwiriri wakakimbilia mitaani na kujifanya wakulima wafugaji ila wakificha maovu yao.
Hivyo na yule kijana ni mmoja wao unalia nini unalilia ukatili wake? Ameuawa live ili kutuma salam kwa vijana wengine wasiige ujinga wake.
Prof take care on issue za usalama otherwise acha siasa nenda kafanye usani ndio sehem inakufa.
ITV pia walikosea kuweka live