Prof Jay kuwa kiongozi sio msanii

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
4,567
2,000
Kitendo cha kupata cover unalia while wewe ni mbunge na mmoja wakamati za usalama wa eneo lako nijambo lakisanii kama sio kejeli kwa watu wako.
Kwanini usizuwie hisia zako nakuanza kulia lia kama usie juwa nini kinaendelea katika Taifa.

Vijana wengi wamepita mafunzo ya ugaidi na no watu hatari baada ya kulichafuwa chaka kule ikwiriri wakakimbilia mitaani na kujifanya wakulima wafugaji ila wakificha maovu yao.

Hivyo na yule kijana ni mmoja wao unalia nini unalilia ukatili wake? Ameuawa live ili kutuma salam kwa vijana wengine wasiige ujinga wake.

Prof take care on issue za usalama otherwise acha siasa nenda kafanye usani ndio sehem inakufa.

ITV pia walikosea kuweka live
 
natoka hapa

JF-Expert Member
Feb 28, 2014
8,748
2,000
Ukiwa mbunge hisia zako kama binadamu zinaondoka au kila kitu chama chako lazima kipinge?

Hata wewe iko siku unaweza kujikuta unadondosha chozi.

Mbunge ni mwanadamu ana moyo, ana hisia.

Wewe mwenyewe unalizwa na videmu vya hovyo hovyo si bora Prof Jay kalilia mwananchi wake.

Polisi hawapaswi kumuua mtu bila kupata taarifa za kuthibitisha tuhuma zake. Na hata wakipata taarifa zake polisi haipo kwa ajili ya kuua watu.
Sasa kama huyo dogo alikua gaidi ukimuua utapataje magaidi wenzake?
Acha poor thinking mkuu
 
Consigliere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
11,542
2,000
Kitendo cha kupata cover unalia while wewe ni mbunge na mmoja wakamati za usalama wa eneo lako nijambo lakisanii kama sio kejeli kwa watu wako.
Kwanin usizuwie hisia zako nakuanza kulia lia kama usie juwa nini kinaendelea ktk Taifa.

Vijana wengi wamepita mafunzo ya ugaidi na no watu hatari baada yakulichafuwa chaka kule ikwiriri wakakimbilia mitaani nakujifanya wakulima wfugaji ila wakificha maovu yao.

Hivyo nayule kijana nimmoja wao unalia nini unalilia ukatili wake? Ameuwawa live ili kutuma salam kwa vijana wengine wasiige ujinga wake...

Prof take care on issue za usalama otherwise acha siasa nenda kafanye usani ndio sehem inakufa.

Itv pia walikosea kuweka live
Wewe ni nani aliyekwambia kuwa yule kijana ni gaidi? Maana hata Polisi wamesema watafuatilia kuona kama anahusiana na ugaidi. Kingine Polisi na serikali wote walikataa kabisa kuwa ile issue ya Kibiti ilikua inahusiana na Ugaidi, leo inakuwaje habari ibadirike tena?
 
ELI-91

JF-Expert Member
Aug 24, 2014
3,593
2,000
Kwahiyo jeshi la polisi linafanya majukumu ya mahakama, na kwa akili zako kidogo unaona ni sawa? sikulaumu kwasababu hilo lipo tangu enzi na enzi, watu wenye akili kidogo hufanya kazi za ulinzi na upolisi na kupewa ujira kidogo. Ni kama mbwa na master wake kwa malipo ya kipande cha mfupa.
 
ilala yetu

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
389
500
Kitendo cha kupata cover unalia while wewe ni mbunge na mmoja wakamati za usalama wa eneo lako nijambo lakisanii kama sio kejeli kwa watu wako.
Kwanin usizuwie hisia zako nakuanza kulia lia kama usie juwa nini kinaendelea ktk Taifa.

Vijana wengi wamepita mafunzo ya ugaidi na no watu hatari baada yakulichafuwa chaka kule ikwiriri wakakimbilia mitaani nakujifanya wakulima wfugaji ila wakificha maovu yao.

Hivyo nayule kijana nimmoja wao unalia nini unalilia ukatili wake? Ameuwawa live ili kutuma salam kwa vijana wengine wasiige ujinga wake...

Prof take care on issue za usalama otherwise acha siasa nenda kafanye usani ndio sehem inakufa.

Itv pia walikosea kuweka live
we mbona umeleta uzi live humu..
 
kinundu

JF-Expert Member
Oct 12, 2016
2,020
2,000
Watatalaam wanadai ni bora mtu ukalia walaua mara moja kwa mwezi ilikutoa sumu mwilini... Nadhan Prof katimiza lile la wataalam mi nakushauri nawewe ulie...

Unakumbuka bashite naye alilia kanisani.. Alafu yeye ni mwenyekiti wa mkoa wote lakini hukuletw uzi... Mwakyembe alilia bungeni kwenye msiba wa sitta...

Hvyo kulia ni hisia mtu akatazwi kulia vile vile no afya... Tafuta nawewe walau ata siku moja ya kulia
 
engine rock

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,199
2,000
Kitendo cha kupata cover unalia while wewe ni mbunge na mmoja wakamati za usalama wa eneo lako nijambo lakisanii kama sio kejeli kwa watu wako.
Kwanin usizuwie hisia zako nakuanza kulia lia kama usie juwa nini kinaendelea ktk Taifa.

Vijana wengi wamepita mafunzo ya ugaidi na no watu hatari baada yakulichafuwa chaka kule ikwiriri wakakimbilia mitaani nakujifanya wakulima wfugaji ila wakificha maovu yao.

Hivyo nayule kijana nimmoja wao unalia nini unalilia ukatili wake? Ameuwawa live ili kutuma salam kwa vijana wengine wasiige ujinga wake...

Prof take care on issue za usalama otherwise acha siasa nenda kafanye usani ndio sehem inakufa.

Itv pia walikosea kuweka live
Mbunge hana hisia?
 
fugees

JF-Expert Member
Aug 13, 2012
2,872

Naona ile koment yako ya et prof jay ni msanii lakin ulipo ulizwa taja nyimbo zake ukatoka mafuta...

Maudhui ya nyimbo za prof jay. Ni kitabu tosha. Na wema sepetu utasema nani.

Shida huko nyuma haukua hivyo.
 
Masiya

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
6,975
2,000
Muzee Kaunda wa ku Zambia. Ni hisia na kiongozi huwezi kujifanya huna hisia.
 
Tairi bovu

JF-Expert Member
Sep 28, 2017
3,067
2,000
Kitendo cha kupata cover unalia while wewe ni mbunge na mmoja wakamati za usalama wa eneo lako nijambo lakisanii kama sio kejeli kwa watu wako.
Kwanin usizuwie hisia zako nakuanza kulia lia kama usie juwa nini kinaendelea ktk Taifa.

Vijana wengi wamepita mafunzo ya ugaidi na no watu hatari baada yakulichafuwa chaka kule ikwiriri wakakimbilia mitaani nakujifanya wakulima wfugaji ila wakificha maovu yao.

Hivyo nayule kijana nimmoja wao unalia nini unalilia ukatili wake? Ameuwawa live ili kutuma salam kwa vijana wengine wasiige ujinga wake...

Prof take care on issue za usalama otherwise acha siasa nenda kafanye usani ndio sehem inakufa.

Itv pia walikosea kuweka live
Hakujawahi kuwa na ugaidi ikwiriri, polisi na wanajeshi wa Tanzania hawana uwezo wa kupambana wala kumjua gaidi .kilichokuwa kinaendelea ikwiriri ni vita dhidi ya zuluma na uonevu wa serikali. Kama hujui usiopende kuongea uongo. Prf j kulia.ilikuwa ni kuonesha hisia zake kama wewe ambavyo ungelia msibani .unataka tuamini kwamba hata mwakyembe alivyolia kwenye msiba wa mkewe ulikuwa usanii
 
Mau Mau

JF-Expert Member
Dec 30, 2012
665
500
Kitendo cha kupata cover unalia while wewe ni mbunge na mmoja wakamati za usalama wa eneo lako nijambo lakisanii kama sio kejeli kwa watu wako.
Kwanin usizuwie hisia zako nakuanza kulia lia kama usie juwa nini kinaendelea ktk Taifa.

Vijana wengi wamepita mafunzo ya ugaidi na no watu hatari baada yakulichafuwa chaka kule ikwiriri wakakimbilia mitaani nakujifanya wakulima wfugaji ila wakificha maovu yao.

Hivyo nayule kijana nimmoja wao unalia nini unalilia ukatili wake? Ameuwawa live ili kutuma salam kwa vijana wengine wasiige ujinga wake...

Prof take care on issue za usalama otherwise acha siasa nenda kafanye usani ndio sehem inakufa.

Itv pia walikosea kuweka live
Mh sana TUMAINIEL,

Mbunge sio mjumbe wa kamati ya Ulinzi na usalama ya wilaya wala mkoa, labda ya kitongoji chenu
 
uhurubado

JF-Expert Member
Mar 25, 2007
578
500
Kwahiyo jeshi la polisi linafanya majukumu ya mahakama, na kwa akili zako kidogo unaona ni sawa? sikulaumu kwasababu hilo kipo tangu enze na enzi, watu wenye akili kidogo hufanya kazi za ulinzi na upolisi na kupewa ujira kidogo. Ni kama mbwa na master wake kwa malipo ya kipande cha mfupa.
Hivi Usama Bin Laden alihukumiwa kifo na mahakama gani? Ukishajikurubisha na chata ya ugaidi ujuwe mahkama yako ni shaba au Bomu kabisa.
 
MWALLA

JF-Expert Member
Dec 12, 2006
15,629
2,000
Naona ile koment yako ya et prof jay ni msanii lakin ulipo ulizwa taja nyimbo zake ukatoka mafuta...

Maudhui ya nyimbo za prof jay. Ni kitabu tosha. Na wema sepetu utasema nani.

Shida huko nyuma haukua hivyo.
Alikuwaje nyuma
 
MWALLA

JF-Expert Member
Dec 12, 2006
15,629
2,000
Kitendo cha kupata cover unalia while wewe ni mbunge na mmoja wakamati za usalama wa eneo lako nijambo lakisanii kama sio kejeli kwa watu wako.
Kwanini usizuwie hisia zako nakuanza kulia lia kama usie juwa nini kinaendelea katika Taifa.

Vijana wengi wamepita mafunzo ya ugaidi na no watu hatari baada ya kulichafuwa chaka kule ikwiriri wakakimbilia mitaani na kujifanya wakulima wafugaji ila wakificha maovu yao.

Hivyo na yule kijana ni mmoja wao unalia nini unalilia ukatili wake? Ameuawa live ili kutuma salam kwa vijana wengine wasiige ujinga wake.

Prof take care on issue za usalama otherwise acha siasa nenda kafanye usani ndio sehem inakufa.

ITV pia walikosea kuweka live
Huyu nae unamuitaje
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom