The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Pesa ni kalio, mwenye nalo anamng'ong'a asiye na kishuduPesa mwanaharamu, ukiwa nayo huwezi tambua kuna mwingine hana.
😀 😀 😀 haha kwamba aongeze mlo, ukamhurumua hahaha kunenepa sio afyaKila kitu kwa kiasi wandugu. Kuleni kwa kiasi. Nilijaaliwa kumuona Janabi kwa karibu sana, ukweli ni kwamba yuko weak, sikuona nuru kwenye ngozi yake... SIMSIMANGI ila anahitaji kuongeza mlo kidogo. Siku hiyo alishindia kikombe cha kahawa nyeusi bila sukari. nilikuwa namwangalia sana... nilimhurumia. Hatuishi milele hapa... tule tufurahi kwa KIASI
Siku hizi tangu ametumwa kwenda ukurugenzi wa WHO aakula hadi keki kwenye birtdays anazoalikwa, hadi Pepsi baridi anakunywa ili aonekane ni mtu wa watu“Wale watu wanaokula mara nyingi, wanaokula mara kwa mara wanakuwa hawana muda wa kuunguza mafuta. Wanaofunga muda mrefu wanakuwa na muda mrefu pia wa kuunguza mafuta ya Mwili. Kuna magonjwa mengi yanayosababishwa na ulaji wetu wa mara kwa mara. Ukitaka kinga ya mwili iwe juu na kurefusha maisha, si kurefusha tu maisha bali maisha yenye quality (Ubora), kula mlo mmoja. Ni ngumu kuvumilia lakini mwili siku zote una tabia ya kuzoea. Si lazima ule mlo mmoja kila siku, unaweza kubadili ukala mara mbili au tatu kwa wiki, siku zingine ukala mara mbili”
Nukuu ya Pro. Mohamed Janabi, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili na Mshauri wa Rais kuhusu Masuala ya Afya akizungumza kupitia Afya Podcast ya Muhimbili TV, Septemba 4, 2023
Wanasaayansi na ma dr wa bongo. Wengine huko duniani watoe kwenye hizo mamboWanasayansi(madokta) bhana mara tule milo yote tusijepata vidonda vya tumbo, mara tena kula mlo mmoja
Chagua kula mlo mmoja upate vidonda vya tumbo ila uishi maisha marefuHivi Mna uhakika janabi Ni dokta WA binadamu kweli?
Sio nilitaka anenepe... hapana. Najua unene sio mzuri. Ila aongeze mlo, mwili unahitaji chakula🙂😀 😀 😀 haha kwamba aongeze mlo, ukamhurumua hahaha kunenepa sio afya