wilchuma JF-Expert Member Joined May 16, 2013 Posts 1,102 Reaction score 333 Apr 28, 2015 #21 hiyo sio ya kukosa ati
DCONSCIOUS JF-Expert Member Joined Oct 4, 2010 Posts 1,269 Reaction score 473 Apr 28, 2015 #22 Sikosi
N ngilenengo1 JF-Expert Member Joined Feb 14, 2012 Posts 1,275 Reaction score 605 Apr 28, 2015 #23 Nahoji kama Mtanzania, kwani CDM inawahusu watu gani? Sisi wote sio wacheza dansi ndugu OKW BOBAN SUNZU said: unahoji kama nani,chadema inakuhusu nini Click to expand...
Nahoji kama Mtanzania, kwani CDM inawahusu watu gani? Sisi wote sio wacheza dansi ndugu OKW BOBAN SUNZU said: unahoji kama nani,chadema inakuhusu nini Click to expand...
kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 20,319 Reaction score 13,390 Apr 28, 2015 #24 ngilenengo1 said: Pro J wa CDM ndo nani huyo, anawadhifa gani katika Chama hadi kuwa mgeni rasmi? Nauliza tu? Click to expand... Ni mkuu wa jeshi la Marekani,ametua jana kutoka huko
ngilenengo1 said: Pro J wa CDM ndo nani huyo, anawadhifa gani katika Chama hadi kuwa mgeni rasmi? Nauliza tu? Click to expand... Ni mkuu wa jeshi la Marekani,ametua jana kutoka huko
samora10 JF-Expert Member Joined Jul 21, 2010 Posts 7,607 Reaction score 4,818 Apr 28, 2015 #25 Lazima magamba yakae.. manake yanapigwa kote kote
PingIdea JF-Expert Member Joined Jan 24, 2015 Posts 363 Reaction score 183 Apr 28, 2015 #26 Kichomiz umetisha teh teh
A Abunuas JF-Expert Member Joined Apr 8, 2011 Posts 8,812 Reaction score 1,824 Apr 28, 2015 #27 MFUKUZI said: Chadema n kama tanuli la kufua viongozi... Hakika Prof J amekwiva kisiasa kwa sasa Click to expand... another lema aka sugu aka kibajaji. ewe mungu tuepushie mbali na misukule inayokwenda kula kodi zetu bure.
MFUKUZI said: Chadema n kama tanuli la kufua viongozi... Hakika Prof J amekwiva kisiasa kwa sasa Click to expand... another lema aka sugu aka kibajaji. ewe mungu tuepushie mbali na misukule inayokwenda kula kodi zetu bure.