Prof. Benno Ndullu, biography &CV

Hata Mwigulu ni mchumi mkali #people say ila sijui yuko wapi siku hz hata kwenye mambo ya vyura fc simsikii kama zamani
Kapigwa beat na bashite kawa mdogo kama pilton!!
 
Akufanyie nani sasa hiyo assessment?? Fanya wewe unayepinga...
Hivi governor ndullu alipandisha uchumi wa Tanzania? Au aliimarisha shilling ya Tanzania?? Embu fanya assessment wakati ameingia alitukuta wapi na katoka katuacha wapi?
Fanya critical analysis!
 
9. On 27th September 2019, South Africa's President, CYRILL RAMAPHOSA, appointed Prof. NDULLU as a member of the new Presidential Economic Advisory Council.
Ina maana mzee meko hakumuona anafaa kuwa mshauri wake mpaka wasauzi wamemchukua?
 
Amekuwa Boss wa BOT kwa miaka kumi

Sasa hakubaliki kivipi?

NDULLU alikuwa Gavana wa BOT kwa miaka kumi ya Kikwete. JPM angeweza kumuongezea muda lakini lazıma kuna sababu ambazo zilimfanya asifanye hivyo; na sababu hizo sisi raia hatuzijui ila pengine kuspeculate tu!!! Kama mnakumbuka enzi ya Kikwete kulitokea ufisadi ambao ulihusu kuchukua mabillioni ya shillingi ambayo yalichukuliwa kwenye masandarusi na wasaidizi wa Mkwere kutoka benki moja ya biashara na kupelekwa Ikulu; waliohusishwa na kashfa ile ni pamoja na aliyekuwa katibu mkuu wa hazina alijulikana kwa jina la Likwelile ambae alikuwa karibu sana na Gavana!!! Fedha zilizohusika zilikuwa nyingi sana kiasi kwamba haiwezekani kuwa viongozi wa BOT akiwemo Gavana hawakujua!!! Pia kulikuwa na bond moja ambayo serikali ilifloat na kukopa millons in forex enzi ya Mkullo akiwa waziri wa fedha na Ndullu akiwa gavana ; fedha zile za ile bond haijulikani jinsi ilivyotumika. Zitto alijaribu kuhoji bungeni lakini baadae akazibwa mdomo. Haya ndio mambo ambayo huwezi kuyafumbia macho hata kama mtu ana CV ya madini ya Tanzanite!!! INTERGRITY is paramount in such sensitive positions!
 
Huyo prof ni msubi wa b'mlo
ila niliskia kua aliwatelekeza wa kwao
Ova
 
rest in peace sir. you were such a talent, the whole world needed you when your fellow country men never saw how such a dime you were
 
Nabii hathaminiwi kwao
 
kuna watu 'kufualia' hua wanakusikia kwenye bomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…