Jamii Opportunities
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 5,158
- 1,688
Mungu akujalie uwezo huo mkuuKazi zinanipita hivihivi na ka diploma kangu ka procurement. Alichokosea baba kunisomesha nitafight kisiwatokee wanangu yaani wasome mpaka basi ibaki kwao kufanya kazi tu
amina, naomba na wewe ujaliwe uwezo huo vilevile tuwasomeshe watoto wetuMungu akujalie uwezo huo mkuu
Mzee alikula kona yuko anakula raha mwenyewe uko. Niko first year, mpaka sasa ashafeli kunikwamisha kielimuamina, naomba na wewe ujaliwe uwezo huo vilevile tuwasomeshe watoto wetu
utafanikiwa kikubwa weka nia (ambition and determination). Mimi hiyo dip. niliyoeleza nilijisomesha mwenyewe katika mazingira magumu ila Mungu akasaidia inanipa ugali na watoto wangu. Kama dingi angenipush kidogo tu ningekuwa mbali sana, labda ningeshakuwa mtaalamu mmoja anayeaminiwa na serikaliMzee alikula kona yuko anakula raha mwenyewe uko. Niko first year, mpaka sasa ashafeli kunikwamisha kielimu
utafanikiwa kikubwa weka nia (ambition and determination). Mimi hiyo dip. niliyoeleza nilijisomesha mwenyewe katika mazingira magumu ila Mungu akasaidia inanipa ugali na watoto wangu. Kama dingi angenipush kidogo tu ningekuwa mbali sana, labda ningeshakuwa mtaalamu mmoja anayeaminiwa na serikali
Itakuwa kuna michezo ya kihuni wanafanya...Nili apply hizo sikuona chochote kama feedbackHawa KADCO kuna ajira walitangaza tangu mwezi march watu hawajaitwa kwenye usaili
Ungewaibukia mkuuItakuwa kuna michezo ya kihuni wanafanya...Nili apply hizo sikuona chochote kama feedback