Procurement and logistics Vs. Logistics and transport management

Pa Amandu

Member
Joined
Sep 4, 2018
Posts
62
Reaction score
40
Habari za jioni wakuu...


Kutokana na mfumo wa udahili mwaka huu kua na changamoto nyingi, baadhi ya watu tumejikuta tukichaguliwa programs (kozi) nje ya malengo yetu...
That being the case, nmejikuta nimeangukia mikononi mwa NIT (procurement and logistics) na sina data vzr kuhusu hii kozi na nyingne tajwa hapo juu..... Nafikiria kwenda kubadili kozi nichukue transport and logistics,
Swali langu la msingi ni, kozi gani kati ya hizi ni zuri zaidi?

Naombeni msaada wakuu.
Naomba kuwasilisha
 
Chukua logistics and transport MGt. Iko poa sana bos. Achana na procurement ina watu wengi sana. Pia itakubidi ufanye mitihani ya board ni balaa tupu
 
Ni kozi yenye changamoto ya ajira Ila ukifanikiwa kupata ajira umeula mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…