Sasa website zinazo toa ressurection rmx ni nyingi... Hebu jaribu kudownload ressuruction rmx kutoka webu nyingine ambayo iko trusted... After that umesema sim uki connect na pc haisomi sasa toa memory card yako hiyo ya external weka kwenye kadi Reader then connect na pc, baax
Da ya hivyo hamisha zip file ya ressurection rmx kuweka kwenye memory card
Halafu irudishe kwenye cm hiyo memory..... Hapo unaweza uka install kama kawaida kwa kutumia CWM RECCOVERY au TWRP but TWRP ni nzuri kwa kuflashhia then endelea na procedure zingine za kuflash...
NB. Ressurection RMX ni sawa ila still kuna OS zingine za maana unazoweza kutumia mfano ECLIPSE_V7 au DITTO NOTE 1.2.3.4.5.6.7 kwa wale wa samsung phablet phones