kazikubwa JF-Expert Member Joined Oct 8, 2010 Posts 597 Reaction score 151 Oct 26, 2012 #1 Timu ya soka ya Prison ya Mbeya imepata ajali mbaya mkoani Tanga baada ya gari lao aina ya Coster kupinduka mara tatu. Hivyo mechi yao na Mgambo JKT imeahirishwa hadi hapo baadaye. Source: ITV
Timu ya soka ya Prison ya Mbeya imepata ajali mbaya mkoani Tanga baada ya gari lao aina ya Coster kupinduka mara tatu. Hivyo mechi yao na Mgambo JKT imeahirishwa hadi hapo baadaye. Source: ITV